5°2′6″S 39°6′1″E / 5.03500°S 39.10028°E / -5.03500; 39.10028
Mto Sigi (pia: Zigi) ni mto wa mkoa wa Tanga, Tanzania Kaskazini Mashariki.
Una urefu wa kilometa 100: unaanzia katika hifadhi ya msitu ya Amani iliyopo katika wilaya ya Muheza na baada ya kubadili mwelekeo mara kadhaa unaingia katika Bahari Hindi kilometa 40 kaskazini kwa mji wa Tanga.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Sigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mto Sigi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.