Mouhamadou Fall (alizaliwa Beaumont-sur-Oise, 25 Februari 1992) ni mwanariadha kutoka Ufaransa aliyegobea kwenye mbio za mita 200.
Alimaliza wa tatu kwenye michuano ya 2019 ya European Team Championships na alishiriki kwenye 2019 World Championships bila kufika fainali. Alikuwa bingwa wa Ufaransa mwaka 2019.
Kwenye mbio za mita 4 * 100, alimaliza wa 4 kwenye michuano ya 2018 ya Ulaya na watano kwenye mbio za IAAF world relays za 2019.
Rekodi yake bora ni sekunde 10.12 kwenye mita 100 aliipata Julai 2019 kule Saint-Etienne; na sekunde 20.34 kwenye mita 200 aliyoipata Julai 2019.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mouhamadou Fall, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.