Samaki Matamvua

Matamvua ya samaki (pia: mashavu ya samaki; kwa Kiingereza: gills) ni viungo kwenye mwili wa samaki na wanyama wengine wanaoishi kwenye maji vinavyowawezesha kupumua, yaani kupeleka oksijeni iliyomo mwenye maji kuingia katika damu.

Yanatoa pia hewa iliyotumiwa ya dioksidi kabonia kutoka damu na kuiacha kwenye maji. Kwa hiyo matamvua ya viumbehai wa majini hutekeleza kazi inayolingana na mapafu ya wanyama wa nchi kavu.

Samaki Matamvua
Matamvua ya kamongo yanaonekana kwa sababu alizaliwa bila mfuniko unaoyafunika kwa kawaida.
Samaki Matamvua
Matamvua ya jodari.
Samaki Matamvua
Matamvua ya kiluwiluwi za salamanda.

Matamvua huhitaji kwa kazi hiyo uso mkubwa ambamo mishipa ya damu katika ngozi yake huitishwa na maji yenye oksijeni. Kwa hiyo umbo lake linaweza kufanana na unyoya.

Samaki huwa na matamvua kando ya kichwa. Ndubwi (viluwiluwi) wa amfibia mara nyingi huwa na matamvua yanayotoka nje ya mwili.

Wanyama wadogo sana wa majini hawahitaji matamvua kwa sababu kwao upumuo hutokea moja kwa moja kupitia ngozi ya mwili.

Viungo vya nje

Samaki Matamvua 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Samaki Matamvua 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Samaki Matamvua  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matamvua (samaki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DamuDioksidi kaboniaHewaKaziKiingerezaMajiMapafuMwiliOksijeniSamakiViumbehaiWanyamaw:gill

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NguruweUkimwiAngahewaMshororoHistoria ya uandishi wa QuraniAsiaBaraza la mawaziri TanzaniaJuma kuuVivumishi vya kumilikiAganoTendo la ndoaSisimiziWairaqwUnyevuangaMitume na Manabii katika UislamuUyahudiLigi ya Mabingwa AfrikaUoto wa Asili (Tanzania)Injili ya YohaneAntibiotikiKombe la Dunia la FIFAMweziFigoMeta PlatformsJamhuri ya Watu wa ZanzibarOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAsidiUkoloniOrodha ya wanamuziki wa AfrikaSaida KaroliDioksidi kaboniaMkoa wa NjombeMendeLeopold II wa UbelgijiMalaikaKukuKiraiWameru (Tanzania)SamakiFutariRihannaAslay Isihaka NassoroMichezo ya watotoSakramentiRamadan (mwezi)WikipediaHali maadaMaishaLatitudoKuhaniKifo cha YesuMike TysonFid QJuxKaramu ya mwishoNenoKitenzi kikuuNyokaGhanaNomino za dhahaniaMziziVielezi vya mahaliJihadiKaabaMkoa wa LindiVihisishiOrodha ya milima ya TanzaniaPalestinaMfumo wa JuaNyati wa Afrika🡆 More