Managua

Managua (Kinahuatl: Mana-ahuac - kando la maji) ni mji mkuu wa Nikaragua pia mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 1.3.

Managua

Kanisa Kuu la Kikatoliki mjini Managua (Nikaragua)
Habari za kimsingi
Mkoa Eneo la mji mkuu Managua (Departmento Managua)
Anwani ya kijiografia Latitudo: 12°8′12″N - Longitudo: 86°15′5″W
Kimo 55 - 900 m juu ya UB
Eneo - Manisipaa 544 km²
- mji 173.7 km²
Wakazi 1,380,100 (2001)
Msongamano wa watu watu 2,537 kwa km²
Simu +505 (nchi), 2 (mji)
Mahali
Managua
Managua
Nembo la Managua

Mji uko kando la ziwa Managua unapoelea ufukoni kwa upana wa km 30 na kupanda mitelemko ya vilima hadi kimo cha mita 900.

Managua imekuwa mji mkuu tangu 1892content&task=view&id=23&Itemid=40 ilipochukua nafasi ya miji mikuu ya awali León na Granada.

Mji ulianzishwa katika karne ya 19. Iliharibika mara mbili na matetemeko ya ardhi (1931 na 1972) ikajengwa upya tena.

Managua ina vyuo vikuu kadhaa, vyuo na shule nyingi pamoja taasisi kama maktaba ya taifa na makumbusho ya taifa.

Managua Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Managua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KinahuatlMji mkuuNikaragua

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi kufuatana na wakaziDizasta VinaHaitiJustin BieberIsaMafarisayoKendrick LamarLionel MessiKumaAlomofuOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaHifadhi ya mazingiraMnyamaKutoka (Biblia)Mfumo wa JuaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniPeasiWayahudiKimondo cha MboziKilatiniMofimuMizimuMungu ibariki AfrikaKondomu ya kikeMtakatifu PauloInsha ya wasifuWaheheMfumo wa upumuajiMkoa wa KataviKibodiMadhara ya kuvuta sigaraLongitudoLahajaNdegeOrodha ya Marais wa BurundiFamiliaTendo la ndoaMwanzoAnna MakindaTabataDakuMtiTanzania Breweries LimitedUandishi wa ripotiMeliNdege (mnyama)Majina ya Yesu katika Agano JipyaMahakama ya TanzaniaKrismaAngahewaUgonjwa wa kupoozaUkomboziMafua ya kawaidaHistoria ya EthiopiaMkoa wa NjombeShirika la Utangazaji TanzaniaKontuaUchekiNyokaKisasiliSinagogiMofolojiaHali maadaTanganyikaWiki FoundationAzimio la kaziSeli nyeupe za damuDuniaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaMjasiriamaliWamandinkaReal BetisKondoo (kundinyota)FisiMichezo ya watotoMusuliNzige🡆 More