Kolibri

Nusufamilia 2:

Kolibri
Kolibri kidevu-cheusi, Archilochus alexandri
Kolibri kidevu-cheusi, Archilochus alexandri
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Nusungeli: Neornithes
Ngeli ya chini: Neognathae
Oda: Apodiformes (Ndege kama teleka)
Familia: Trochilidae (Ndege walio na mnasaba na kolibri)
Ngazi za chini

  • Phaethornithinae
  • Trochilinae

Kolibri (kutoka Kitaino: kolibrí, kupitia Kijerumani: kolibri) ni ndege wadogo wazuri wa familia Trochilidae ambao wanatokea Amerika tu. Wako miongoni mwa ndege wadogo kabisa. Wengi wana urefu kati ya sm 7.5 na 13, lakini ndege mdogo kabisa duniani, kolibri-nyuki, ana urefu wa sm 5 tu. Ndege hawa wanaweza kuangama hewani wakipapatika mabawa yao mara 12-80 kwa sekunde. Hii inatoa sauti ya uvumi (Kiing. "humming", kwa hivyo jina lao la hummingbird).

Spishi

Phaetornithinae

Trochilinae

Picha

Kolibri  Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kolibri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DhamiraWachaggaUongoziSinagogiKura ya turufuFran BentleyMsikitiKwararaKiraiMkunduMselaUhindiInshaHistoria ya AfrikaAzam F.C.Mkoa wa DodomaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniOrodha ya visiwa vya TanzaniaTarakilishiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaBaraVivumishi vya urejeshiMkoa wa Dar es SalaamMsumbijiElla PowellMwaka wa KanisaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMaudhuiMoyoJozi26 ApriliVichekeshoJamhuri ya Watu wa ZanzibarFananiUislamu nchini TanzaniaZama za MaweNomino za kawaidaUislamuMkoa wa NjombeSongea (mji)UfaransaChuo Kikuu cha DodomaMtoni (Temeke)FonetikiFalsafaShuleMitume na Manabii katika UislamuUlumbiUtumbo mwembambaKen WaliboraGabriel RuhumbikaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMfumo wa JuaUchawiSeduce MeNomino za pekeePesaOrodha ya Marais wa KenyaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiWajitaMohamed HusseiniOrodha ya makabila ya TanzaniaJamhuri ya Watu wa ChinaShangaziSeli nyekundu za damuSokoOrodha ya Marais wa UgandaPemba (kisiwa)MvuaNzigeEthiopiaHali ya hewaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Soko la watumwaWakinga🡆 More