Kitabu Cha Hali Ya Hewa

Kitabu cha Hali ya Hewa ni kitabu cha pamoja kisicho cha uwongo kilichoongozwa na mwanaharakati wa hali ya hewa Greta Thunberg.

Kina mkusanyo wa insha fupi na wataalamu zaidi ya mia moja. Kinachambua sababu, matokeo na changamoto za mgogoro wa hali ya hewa.

Toleo la Kiingereza lilichapishwa mnamo Oktoba 2022. Tafsiri huchapishwa katika lugha kadhaa zikiwemo Kijerumani, Kihispania, Kireno, Kiitalia, Kifaransa, Kiholanzi, Kiswidi, Kideni na Kinorwe.

Jalada lina mchoro wa taswira ya data ya mistari ya joto ya aina iliyotengenezwa na mtaalamu wa hali ya hewa Mwingereza Ed Hawkins.

Kitabu Cha Hali Ya Hewa Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitabu cha Hali ya Hewa kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Greta ThunbergHali ya hewaKitabuMgogoro wa hali ya hewaMwanaharakati

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MnyamaTowashiFamiliaKunguniKoalaLilithNomino za wingiNetiboliAishi ManulaSomo la UchumiThamaniADhima ya fasihi katika maishaMaumivu ya kiunoHistoria ya UislamuUchumiMtaalaMuzikiWahaDuniaSayariKata za Mkoa wa Dar es SalaamSintaksiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaAina za ufahamuKuraniNyanja za lughaIdi AminUtawala wa Kijiji - TanzaniaJVivumishi vya sifaKuchaSomaliaWellu SengoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniRisalaMatiniPasaka ya KiyahudiPumuAli Hassan MwinyiKinyongaJumapili ya matawiDiamond PlatnumzMahindiOrodha ya Watakatifu WakristoLGBTMbwaVivumishi vya idadiZuchuMivighaHisiaMaradhi ya zinaaUmemeDaudi (Biblia)TafsiriNileZuhuraAngahewaMeno ya plastikiNdoa ya jinsia mojaMvuaTakwimuBibliaJokate MwegeloMbwana SamattaNchiKitomeoNovatus DismasImaniUgonjwa wa uti wa mgongoKilimoUfaransaMnururishoRoho MtakatifuMisimu (lugha)HakiPijini🡆 More