Kinyamadege au domobata ni mamalia wa Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ile ya fisi-maji na mkia kama biva.
Kinyamadege | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Ni moja ya spishi tano za mamalia wanaotaga mayai, lakini ananyonyesha watoto wake kama mamalia wote wengine.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyamadege kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kinyamadege, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.