Jicho la joka ni alama ya kale ya Kijerumani iliyokusanywa na Rudolf Koch.
Jicho la joka ni pembetatu pacha inayoelekea chini, na "Y" katikati inayounganisha pointi tatu za pembetatu hizo pamoja.
Kwa mujibu wa kamusi ya maonyesho ya Carl G. Liungman, pembetatu hizo zinaonesha tishio na "Y" ina maana ya uchaguzi kati ya mema au mabaya.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jicho la Joka, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.