Jay Rosen

Jay Rosen (amezaliwa Buffalo, New York, 5 Mei 1956) ni mwandishi na mwalimu wa uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha New York.

Jay Rosen anajihusisha kwa karibu na masuala ya Uandishi wa Raia.

Jay Rosen
Jay Rosen
Amezaliwa
New York, Marekani
Kazi yake Mwandishi, Profesa.

Kitabu chake kiitwacho What Are Journalists For? kilichotolewa mwaka 1996 kinazungumzia juu ya umuhimu wa kutumia zana mpya za habari kwa ajili ya mawasiliano na masikilizano.

Jay anaandika katika blogu yake iitwayo Pressthink ambayo inazungumzia juu ya taaluma ya uandishi katika zama za Intaneti. Pia huwa anaandika katika blogu ya The Huffington Post. Pressthink ilishinda tuzo ya Freedom Blog Award inayotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Reporters Withouth Borders mwaka 2005.

Viungo vya nje

Jay Rosen  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jay Rosen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19565 MeiBuffaloMwalimuMwandishiNew YorkUandishi wa habari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JeshiFalsafaKonsonantiUkooBarua rasmiUnajimuOrodha ya Marais wa ZanzibarVivumishi vya idadiKitenzi kishirikishiMagonjwa ya machoVitendawiliDagaaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRufiji (mto)BilioniMkoa wa MbeyaKinenaSamia Suluhu HassanSerikaliOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaAgano JipyaMpungaWilaya za TanzaniaWanyakyusaShangaziUbaleheUlayaFasihi simuliziMkoa wa GeitaWenguJumapiliChumaTungo kiraiWayahudiRasilmaliMajina ya Yesu katika Agano JipyaAina za udongoBurundiMbuniNenoKishazi tegemeziTamthiliaZama za MaweMishipa ya damuHafidh AmeirTanganyikaUaminifuKilatiniChris Brown (mwimbaji)Mkoa wa TaboraMaishaWaamuzi (Biblia)Kitenzi kikuu kisaidiziMnara wa BabeliDaudi (Biblia)Msokoto wa watoto wachangaMenoMkoa wa SimiyuJina takatifu la YesuFamiliaHarusiSilabiKenyaAustraliaViwakilishiWayao (Tanzania)Jumuiya ya Afrika MasharikiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMoses KulolaUrenoRamaniMapenziMawasilianoViunganishiAina za manenoLeonard MbotelaKarafuu🡆 More