Ibrahima Konaté (alizaliwa Paris, 25 Mei 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutokea nchini Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Liverpool F.C.
Akianzia na klabu Sochaux, Konaté alihamia RB Leipzig mwaka 2017. Baada ya miaka minne na klabu hiyo, Liverpool ilimsajili mwaka 2021 kwa ada ya paundi milioni 36. Alishinda kombe la EFL na kombe la FA katika msimu wake wa kwanza.
Ibrahima Konaté alikulia Paris na ni mtoto wa pili kutoka mwisho kati ya watoto wanane waliozaliwa na wazazi kutoka Mali. Ni muislamu.Ukiachana na soka, Konaté ni shabiki wa filamu ya katuni ya anime namanga, na kutaja mfululizo wa filamu ya Attack on Titan kama mfululizo wake anaoupenda zaidi.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ibrahima Konaté kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ibrahima Konaté, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.