Historia Ya San Marino

Historia ya San Marino inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya San Marino.

San Marino inatajwa kuwa jamhuri yenye umri mkubwa kuliko zote duniani. Ilianzishwa na Wakristo waliokimbia dhuluma ya Kaisari wa Roma Diokletiano wakitafuta kimbilio mlimani.

Kati yao, shemasi Marino na padri Leo ndio maarufu zaidi.

Tangu hapo imefaulu kudumisha uhuru wake.

Historia Ya San Marino Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya San Marino kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JamhuriSan Marino

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMwanzoUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMimba za utotoniMavaziJumapili ya matawiMadhara ya kuvuta sigaraTetemeko la ardhiMvuaLigi Kuu Tanzania BaraUaHistoria ya ZanzibarMadawa ya kulevyaUshairiMethaliAzziad NasenyaFasihi andishiUkabailaFacebookZakaPijiniHistoria ya TanzaniaSinagogiBunge la Umoja wa AfrikaVitenzi vishirikishi vikamilifuFonimuShabaniAzimio la kaziMisimu (lugha)MivighaVladimir PutinOrodha ya nchi kufuatana na wakaziMeliTendo la ndoaMlo kamiliHifadhi ya mazingiraDiniEverest (mlima)UchawiPonografiaKanga (ndege)Haki za binadamuHistoria ya KenyaVita Kuu ya Pili ya DuniaGesi asiliaMwaniUyogaAthari za muda mrefu za pombeChuraMtiDubaiMusaKiingerezaAina za manenoUti wa mgongoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMafumbo (semi)UmemeTanzaniaKoalaNairobiMjasiriamaliAntibiotikiWimboLugha ya kigeniKodi (ushuru)KengeMfumo wa lughaZiwa ViktoriaJangwaNetiboliKinembe (anatomia)Simon MsuvaNyweleAbedi Amani KarumeMuundo🡆 More