Historia Ya Malaysia

Historia ya Malaysia inahusu eneo ambalo leo linaunda shirikisho la Malaysia.

Nchi ilianzishwa mwaka 1963 wakati Shirikisho la Kimalay (kwa Kimalay: Persekutuan Tanah Melayu) liliungana na Singapur, Sabah na Sarawak ambazo awali zilikuwa chini ya Uingereza.

Hata hivyo Singapur iliondoka mwaka 1965 ikawa nchi ya pekee.

Historia Ya Malaysia
Mahathir Mohamad, Waziri Mkuu aliyekaa muda mrefu zaidi wa Malaysia

Kipindi ambacho Mahathir Mohamad alikuwa madarakani (1981-2003) kilikuwa kipindi cha maendeleo ya haraka ya kiuchumi nchini Malaysia. Nchi iliendeleza majengo makubwa ikiwa ni pamoja na minara ya Petronas Twin Towers.

Historia Ya Malaysia Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Malaysia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MalaysiaShirikisho

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkooAina ya damuSteven KanumbaInjili ya MathayoInsha ya wasifuMajira ya baridiUoto wa Asili (Tanzania)Ngono zembeViunganishiFutiNuru InyangeteDioksidi kaboniaMivighaHassan bin OmariSaharaUkwapi na utaoLughaNeemaKiunzi cha mifupaDiamond PlatnumzMkoa wa DodomaEthiopiaNomino za pekeeDiniPaul MakondaUbuyuMethaliWasafwaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziDakuNileNomino za kawaidaMkoa wa MorogoroMpira wa miguuUnju bin UnuqJomo KenyattaMafua ya kawaidaTeknolojia ya habariAmri KumiRayvannyRedioUjamaaBaruaSaidi NtibazonkizaUgonjwa wa moyoKumaMjombaWallah bin WallahMkoa wa MaraMbeguHistoria ya AfrikaFananiKairoSiasaWaheheHistoria ya UislamuMweziMkoa wa TaboraSanaa za maoneshoAfande SeleSomo la UchumiWizara za Serikali ya TanzaniaDawa za mfadhaikoWajitaMariooKilwa KivinjePasifikiFutariOrodha ya Magavana wa TanganyikaAlama ya uakifishajiMwanamkeMkoa wa MwanzaMapenziBikira MariaDamuMwaka wa Kanisa🡆 More