Go-Suzaku (14 Desemba, 1009 – 7 Februari, 1045) alikuwa mfalme mkuu wa 69 (Tenno) wa Japani.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Atsunaga, na alikuwa mwana wa Tenno Ichijo. Mwaka wa 1036 alimfuata kaka yake, Tenno Go-Ichijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1045, siku mbili tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Go-Reizei.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Suzaku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Go-Suzaku wa Japani, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.