Eutikyo Shemasi Mdogo

Eutikyo (alifariki 356) alikuwa shemasi mdogo wa Aleksandria (Misri) aliyeteswa wakati wa Kwaresima kwa sababu ya kushika imani sahihi dhidi ya Uario.

Hivyo, walipompeleka kufanya kazi migodini, alifariki njiani.

Patriarki Athanasius amesimulia mateso yake na ya wengine wengi katika mwaka huo yaliyohimizwa na Joji, askofu mpinzani wake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Machi.

Tazama pia

Tanbihi

Eutikyo Shemasi Mdogo  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

356AleksandriaImani sahihiKaziKwaresimaMgodiMisriShemasi mdogoUario

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DuniaMkoa wa MwanzaSemiAshokaKisimaOrodha ya vitabu vya BibliaBustani ya EdeniUfaransaFid QSteve MweusiUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereHoma ya manjanoHaitiHistoria ya Kanisa KatolikiKiraiKalenda ya GregoriKukuMuundo wa inshaSteven KanumbaWairaqwUzazi wa mpangoKonsonantiMeta PlatformsKrismaPeasiMbaraka MwinsheheTanzaniaMaishaKiingerezaNimoniaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNevaAsili ya KiswahiliJohn Raphael BoccoSalaMkoa wa KilimanjaroMnara wa BabeliPaul MakondaAngahewaMamaMnyamaKhadija KopaTwigaAfrika KusiniSiasaOrodha ya viongoziBunge la Afrika MasharikiWaluguruUgandaNomino za kawaidaDhima ya fasihi katika maishaNomino za pekeeChuiUkoloniTunu PindaLucky DubeAir TanzaniaUshogaAbrahamuUfahamuWangoniIndonesiaSheriaRitifaaJogooSaratani ya mapafuNairobiBikiraAlasiriNomino za dhahaniaOrodha ya Marais wa BurundiVirusiMizimuAC Milan🡆 More