Eric Abidal (alizaliwa 11 Septemba 1979) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ufaransa na timu za klabu za Lile, Monaco na Barcelona F.C.
Abidal alisajiliwa na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania mwaka 2007 kutoka klabu ya Lyon ya nchini Ufaransa.Alipokuwa Barcelona alifanikiwa kubeba taji la UEFA la mwaka 2010 walipocheza fainali dhidi ya klabu ya Manchestar United lakini kwenye mechi hiyo hakufanikiwa kucheza baada ya kupata kadi nyekundu kwenye mechi ya nusu fainali.Kwa sasa Abidal ni mkurugenzi katika timu ya klabu ya Barcelona.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eric Abidal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Eric Abidal, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.