Dibaji

Dibaji (kutoka neno la Kiarabu; pia kilemba) ni kipande cha maandishi (kwa kawaida huwa kifupi) ambacho huwekwa mwanzoni mwa kitabu au kazi nyingine za fasihi.

Dibaji
Dibaji ya kitabu cha "Men I Have Painted" cha John McLure Hamilton; 1921.
Dibaji
Dibaji ya kitabu cha mwaka 1900 katika lugha ya Kijerumani.

Hasa huandikwa na mtu mwingine, mbali na mwandishi halisi wa kitabu. Huelezea mahusiano na mwingiliano wa kazi zao na mwandishi mkuu au huelezea lilelile linalohusiana na kitabu, kama vile nia na manufaa yake.

Kwa utaratibu huu, wakati mwingine, si lazima sana katika matoleo ya baadaye kukatokea dibaji nyingine mbali na ile ya awali (hutokea kabla ya nyingine kama mwanzo ilikuwepo), hili huweza kuelezea kwa nini matoleo hayo mawili hutofautiana.

Dibaji ikiandikwa na mwandishi mwenyewe, basi huelezea namna kitabu kilivyotengenezwa, na wazo limetokea wapi, na huenda ikajumuisha na shukrani kwa watu waliosaidia uundwaji wa kitabu. Tofauti na tabaruku, dibaji kwa kawaida lazima iwe imesainiwa.

Maelezo ya msingi yanayohusu matini makuu ya kitabu kwa kawaida hujipambua vilivyo, au hasa utangulizi, tofauti na dibaji au tabaruku.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Dibaji 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Dibaji  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dibaji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FasihiKaziKiarabuKitabuMaandishiNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Fasihi andishiVirusi vya UKIMWIAzimio la ArushaMillard AyoAgano la KaleWayahudiKura ya turufuMkoa wa RukwaVipaji vya Roho MtakatifuMbuga wa safariMakabila ya IsraeliOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMaajabu ya duniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya Marais wa KenyaKitenzi elekeziEthiopiaSkeliMsituOrodha ya nchi kufuatana na wakaziMamaRose MhandoOrodha ya Watakatifu WakristoMoscowMkwawaCristiano RonaldoJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMisemoHoma ya manjanoSakramentiVipera vya semiBawasiriUhuru wa TanganyikaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMajiMkoa wa DodomaAustraliaMatiniKishazi tegemeziOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMwanamkeHistoria ya MsumbijiVitendawiliKuku Mashuhuri TanzaniaWilaya ya NyamaganaRedioIsimuChanika (Ilala)HomoniKata (maana)SimuPichaFiston MayeleIsimujamiiSomo la UchumiHakiVihisishiIniMnyoo-matumbo MkubwaMbeya (mji)Uislamu nchini São Tomé na PríncipeAdolf HitlerUbongoUkabailaNdege (mnyama)BinamuLahajaWanyamboVidonda vya tumboUzazi wa mpangoNafsiMkoa wa ArushaDiamond PlatnumzAina za manenoJohn Magufuli🡆 More