Derg

Derg ni neno la Kiethiopia kwa ajili ya kamati au halmashauri.

Inamaanisha hasa kikundi cha wanajeshi waliompindua Kaisari Haile Selassie mwaka 1974 na kushika mamlaka ya serikali nchini Ethiopia.

Derg ilikuwa kamati ya wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali za jeshi kama jeshi la nchi kavu, wanamaji, wanaanga na polisi. Derg ilitawala hadi 1987.

Kati ya 1975 na 1977 watu makumi elfu waliuawa hovyo kwa amri za Derg.

Mwenyekiti na kiongozi mkuu wa Derg alikuwa Mengistu Haile Mariam.

1987 Derg ilikabidhi madaraka kufuatana na katiba mpya na Ethiopia kutangazwa kuwa jamhuri ya kisoshalisti na Mengistu rais wake.

Tags:

1974EthiopiaHaile SelassieKaisari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UchaguziVipera vya semiHoma ya matumboRadiWanyaturuMajira ya mvuaVihisishiJamhuri ya Watu wa ZanzibarWizara za Serikali ya TanzaniaFasihi simuliziBibliaMwamba (jiolojia)Mkanda wa jeshiUgonjwa wa uti wa mgongoMkoa wa ManyaraAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkwawaTarafaJokofuDawa za mfadhaikoMbeya (mji)25 ApriliMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiNyati wa AfrikaMaambukizi ya njia za mkojoNyukiNyangumiUandishi wa ripotiTupac ShakurMillard AyoAgano JipyaOrodha ya viongoziLugha ya taifaMazungumzoRaiaMbuga za Taifa la TanzaniaBikiraWachaggaRita wa CasciaMkoa wa MaraMvua ya maweMpira wa mkonoJinaWarakaWayahudiMwakaZiwa ViktoriaKiumbehaiBurundiMisimu (lugha)Bendera ya ZanzibarJuxSomo la UchumiPemba (kisiwa)MawasilianoMuhammadUharibifu wa mazingiraSensaMbwana SamattaKigoma-UjijiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniHistoria ya IranRayvannyMkoa wa TaboraMasharikiHafidh AmeirSaida KaroliMasafa ya mawimbiAmri KumiMapambano kati ya Israeli na PalestinaWajitaHarmonizeJohn Magufuli🡆 More