Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu Cha Hubert Kairuki

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki ni chuo kikuu binafsi kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.

Kinatambuliwa nchini Tanzania na kimethibitishwa na tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kilianzishwa mwaka 1997, na kilikuwa chuo cha mwanzo binafsi kupatiwa uthibitisho mwezi Juni mwaka 2000.

Taaluma

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kinatoa shahada, stashahada na astahashada katika fani zifuatazo:

Shahada ya Kwanza

  • Shahada ya Udaktari (Miaka 5)
  • Shahada ya Sayansi ya Uuguzi (Miaka 4)

Shahada za Uzamivu

  • Shahada ya uzamivu ya afya ya watoto (Miaka 3)

Stashahada

  • Stashahada ya Uuguzi (kwa wasioko kazini) - (Miaka 3)
  • Stashahada ya Uuguzi kwa walioko kazini - (inatolewa kwa njia ya mtandao)- (Miaka 2)

Astashahada

  • Astashahada ya Uuguzi (Miaka 2)
  • Astashahada ya Ukunga (Miezi 6)

Marejeo

Viungo vya nje

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu Cha Hubert Kairuki  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Chuo Kikuu Cha Kumbukumbu Cha Hubert Kairuki TaalumaChuo Kikuu Cha Kumbukumbu Cha Hubert Kairuki MarejeoChuo Kikuu Cha Kumbukumbu Cha Hubert Kairuki Viungo vya njeChuo Kikuu Cha Kumbukumbu Cha Hubert Kairuki19972000Chuo kikuuDar es SalaamJijiMwakaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Roho MtakatifuMawasilianoMkoa wa MwanzaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWilaya ya NyamaganaJokate MwegeloNabii EliyaMwana FAKhadija KopaNgamiaRose MhandoRicardo KakaUkoloniKongoshoMilaMajina ya Yesu katika Agano JipyaSimbaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiAunt EzekielKisimaWilaya ya KinondoniHistoria ya WasanguSkeliNgonjeraFasihi simuliziMachweoMziziMbwana SamattaMizimuHaitiSteven KanumbaJakaya KikweteRupiaKondomu ya kikeHadithi za Mtume MuhammadHadhiraKinembe (anatomia)Asili ya KiswahiliKitenziTiktokWangoniKomaHafidh AmeirMtaalaMaandishiMwanaumeIsraelChristina ShushoPesaUnyevuangaVivumishi vya urejeshiMnara wa BabeliJacob StephenAnwaniMkoa wa ManyaraPijini na krioliUajemiKilimoBarua rasmiAlama ya uakifishajiNyaniMtandao wa kijamiiSentensiHussein Ali MwinyiHistoria ya IranRaiaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaWizara ya Mifugo na UvuviOrodha ya kampuni za TanzaniaMilango ya fahamuTovutiMadiniVirusi vya CoronaMaradhi ya zinaaUyahudiMfuko wa Mawasiliano kwa Wote🡆 More