Christian Eriksen: Mchezaji mpira wa hispania akichezea katika timeu ya manchester unted

Christian Eriksen (alizaliwa tarehe 14 Februari mwaka 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Tottenham Hotspur na timu ya Taifa ya Denmark.

Christian Eriksen
Christian Eriksen: Mchezaji mpira wa hispania akichezea katika timeu ya manchester unted
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaDenmark Hariri
Nchi anayoitumikiaDenmark Hariri
Jina katika lugha mamaChristian Eriksen Hariri
Jina la kuzaliwaChristian Dannemann Eriksen Hariri
Jina halisiChristian Hariri
Jina la familiaEriksen Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa14 Februari 1992 Hariri
Mahali alipozaliwaMiddelfart Hariri
NduguLouise Eriksen Hariri
Lugha ya asiliKidenmark Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKidenmark Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuattacking midfielder Hariri
Muda wa kazi2010 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoManchester United F.C. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji14 Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2010, UEFA Euro 2012, Kombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2020 Hariri
LigiEredivisie, Ligi Kuu Uingereza, Seria A Hariri
Christian Eriksen: Mchezaji mpira wa hispania akichezea katika timeu ya manchester unted
Christian Eriksen

Alicheza timu yake ya Taifa ya Denmark mwaka 2010, na alikuwa mchezaji mdogo kabisa wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 nchini Afrika Kusini.

Mwaka 2011 Eriksen aliitwa Mchezaji wa Soka wa Denmark wa Mwaka, Talent ya Uholanzi ya Mwaka, Ajax Talent ya mwaka (Tuzo la Marco van Basten), na alifanya timu ya UEFA Euro chini ya miaka 21 .

Pia alishinda Eredivisie na Ajax mwaka 2010-11, 2011-12 na mwaka 2012-13 kabla ya kuondoka kwa Tottenham mwezi Agosti 2013 kwa ada ya taarifa ya karibu £ 11.5 milioni.

Alishinda tuzo ya Tottenham Hotspur ya mwaka kwa msimu wa 2013-14 na,pia ni miongoni mwa wachezaji waliochaguliwa katika kuwakilisha nchi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Heshima

Ajax

  • Eredivisie: 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2013–14
  • KNVB Cup: 2009–10
  • Johan Cruyff Shield: 2013

Tottenham Hotspur

  • Football League Cup runner-up: 2014–15

Binafsi

  • Ajax Talent of the Future: 2010
  • Ajax Talent of the Year: 2011
  • Danish U-17 Talent of the Year: 2008
  • Danish Talent of the Year: 2010, 2011
  • Johan Cruijff Award: 2011
  • Dutch Footballer of the Year Bronze Boot: 2012
  • Danish Football Player of the Year: 2013, 2014, 2015, 2017
  • Danish Football Player of the Year by TV2 and DFA: 2011, 2013, 2014, 2017
  • PFA Team of the Year: 2017–18 Premier League
  • Tottenham Hotspur Player of the Year: 2013–14, 2016–17
  • Premier League Goal of the Month: April 2018

Rekodi

  • Mchezaji wa kwanza kushinda kwa mara tatu mfululizo tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Denmark.
  • Mchezaji wa Denmark aliyefunga mabao mengi katika Ligi Kuu ya Uingereza.

Marejeo

Christian Eriksen: Mchezaji mpira wa hispania akichezea katika timeu ya manchester unted  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Eriksen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

14 Februari1992DenmarkKlabuLigi KuuMchezajiMpira wa miguuUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BloguTamathali za semiMjusi-kafiriHistoria ya KiswahiliMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaKakakuonaLakabuLugha ya taifaLahajaDhamiraOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaOrodha ya wanamuziki wa AfrikaAlfabetiKura ya turufuKoffi OlomideVieleziHifadhi ya mazingiraEthiopiaKifua kikuuTetekuwangaKina (fasihi)Uandishi wa barua ya simuMafua ya kawaidaBahashaBinti (maana)Bendera ya KenyaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaDivaiAlama ya uakifishajiTungo kishaziOrodha ya Marais wa TanzaniaHektariTamthiliaMaliShikamooPamboUkristoMafuta ya petroliFonolojiaMsituAfrika KusiniKichochoNominoSamakiShuleKisiwaVivumishi vya kuoneshaFasihi andishiMishipa ya damuVitendawiliCAFDhima ya fasihi katika maishaVipaji vya Roho MtakatifuMkoa wa RukwaDini asilia za KiafrikaNomino za dhahaniaAsiaMbuniJuxOrodha ya Marais wa NamibiaMbwana SamattaInsha ya wasifuWizara za Serikali ya TanzaniaUenezi wa KiswahiliAsili ya KiswahiliMbogaMkoa wa TangaUandishiWaheheJumuiya ya Afrika MasharikiJoyce Lazaro Ndalichako🡆 More