Kombe La Dunia La Fifa 2018

Kombe la Dunia la FIFA 2018 ilikuwa michuano ya 21 ya Kombe la Dunia la FIFA inayohusisha timu za taifa za wanaume katika mchezo wa soka.

Michuano hii ilishirikisha timu za wanaume kutoka nchi mbalimbali duniani ambazo ni wanachama wa FIFA na hufanyika mara moja kila baada ya miaka minne. Ilifanyika nchini Urusi ikaanza tangu tarehe 14 Juni na kilele cha michuno hii kilikuwa 15 Julai 2018 ambapo timu zilizoingia fainali Ufaransa na Kroatia zilicheza kuamua bingwa wa dunia. Ufaransa ilishinda kwa 4:2.

2018 Kombe la Dunia la FIFA
Чемпионат мира по футболу FIFA 2018
Chempionat mira po futbolu FIFA 2018
Tournament details
MwenyejiBendera ya Urusi Urusi
Tarehe14 Juni – 15 Julai
Timu32 (kutoka 5 nchi)
Miji ya mashindano12 (katika miji11 )
Final positions
ChampionsKombe La Dunia La Fifa 2018 Ufaransa
Runner-upKombe La Dunia La Fifa 2018 Kroatia
Third placeKombe La Dunia La Fifa 2018 Ubelgiji
Fourth placeKombe La Dunia La Fifa 2018 Uingereza
Takwimu ya mashindano
Idadi ya mechi62
Goli iliyofungiwa161 (2.6 kwa mechi)
Mwenye goli nyingiKigezo:Fbicon Harry Kane (6 goals)
Kigezo:AlignKigezo:Align

Urusi ilishinda zabuni ya kuwa mwenyeji wa michuani hii katika mkutano wa FIFA wa tarehe 2 Desemba 2010.

Ni mara ya kwanza kwa michuano hii ulifanyika katika ukanda wa Ulaya Mashariki, na ni mara ya 11 kufanyika katika bara la Ulaya. Kwa mara ya kwanza michuano hii ilifanyika katika mabara mawili yaani Ulaya na Asia. kwani Urusi ipo katika mabara haya mawili ambapo asilimia 75 ni bara la Asia na asilimia 25 ni bara la Ulaya. Viwanja vyote kasoro kimoja vilivyotumika katika mashindano haya vipo katika upande wa Urusi ya Ulaya, lengo lilikuwa kuweza kumudu muda wa kusafiri kwa wachezaji.

Kwa gharama ya takribani $14.2 bilioni, hili ndilo Kombe la Dunia ghali zaidi katika historia. Ni Kombe la kwanza la Dunia kutumia teknolojia ya video kumsaidia mwamuzi (VAR).

Jumla ya timu 32 zishiriki michuano ya Kombe la Dunia, ambapo 31 zilipatikana kwa njia ya kufuzu na Urusi iliingia kikanuni kama mwenyeji wa michuano. Katika timu 32 zilizoshiriki mwaka 2014, timu 20 zimefanikiwa kufuzu tena kwa mara nyingine katika mashindano ya waka 2018, hizi ni pamoja na Ujerumani mabingwa watetezi, Iceland na Panama zikiwa zimeshiriki kwa mara ya kwanza kabisa michuano hii.

Jumla ya mechi 64 zilichezwa katika viwanja 12 viliviopo ndani ya miji 11 nchini Urusi na fainali ya kombe la dunia 2018 ilifanyika katika kiwanja cha “Luzhnik Stadium” mjini Moscow tarehe 15 juni 2018. .

Mabingwa watetezi Ujerumani walitolewa tarehe 27 juni, wameongeza idadi ya mabingwa watetezi waliowahi kutoka hatua za mwanzo kabisa katika mashindano hayo kuanzia (2002 -2018) kufikia 4, nyingine ni Ufaransa, Italia na Hispania.

Mchakato wa zabuni

Mchakato wa kumtafuta wenyeji wa mashindano ya kombe la Dunia 2018 na 2022 yalianza januari 2009, mashirika ya soka ya kitaifa waliombwa kujiandikisha kabla ya tarehe 02 Februari 2009. Nchi 9 ziliweza kutuma maombi lakini baadaye Mexico ilijitoa kutoka katika kinyanganyiro hicho. Indonesia pia ilifutwa au kutolewa kwa kushindwa kukizi vigezo baada ya serikali ya nchi hiyo kushindwa kuwasillisha barua ya kuthibitisha kuwa itashiriki katika kuiwezesha Indonesia kuandaa Michuano hiyo. Katika mchakato huo, Australia, Japan na USA waliweza kuhamishwa kutoka katika mashindano ya kuwa wenyeji 2018 kwenda kuwa washindani katika Zabuni ya 2022. Hatimaye zikasalia zabuni nne, kati yake mbili zikiwa ni za kuungana kwa nchi mbili: Uholanzi/Ubelgiji,Ureno/Uhispania,Uingereza na Urusi.

Wajumbe 22 wa Kamati kuu ya FIFA, walikutana Zurich tarehe 2 Desemba 2010 kupiga kura ili kuchagua nani atakuwa wenyeji wa michuano hiyo. Urusi ilifanikiwa kuibuka kidedea katika chaguzi hizo. Matokeo ya Zabuni yalikuwa kama ifuatavyo:

Zabuni za FIFA 2018
Wazabuni Kura
Round 1 Round 2
Urusi 9 13
Ureno /Uhispania 7 7
Ubelgiji /Uholanzi 4 2
Uingereza 2 0

Timu

Kufuzu

Ni kwa mara ya kwanza katika historia ya kombe la dunia ambapo nchi zote 209 ambazo zipo katika umoja wa FIFA, ukitoa Urusi ambayo inaingia katika mashindano haya kutokana na kanuni ya kuwa mwenyeji, walituma maombi ya kushiriki mashindano ya kufuzu kushiriki katika mashindano ya kombe la Dunia 2018.

Katika timu 32 zilizofanikiwa kufuzu kushiriki kombe la dunia la fifa 2018,Nchi 20 zilishiriki katika mashindano ya kombe la dunia ya fifa 2014.Iceland na panama hii ni mara yao ya kwanza ,huku Iceland akifahamika kuwa nchi yenye idadi ndogo sana ya watu kufanikiwa kufuzu kucheza kombe la dunia la fifa ..

Timu nyingine zilizofanikiwa kurudi baada ya kitambo kidogo ni,Misri mara ya mwisho ilishiriki 1990, Morocco tokea 1998, Peru tangu 1982 na Senegal ambayo ilishiriki mwaka 2002 na kufika hatua ya robo fainali. Ni kwa mara ya kwanza pia kwa nchi tatu kutoka “Nordic countries” na nchi nne za Kiarabu kufanikiwa kushiriki katika mashindano hayo.


Nchi maarufu zilizoshindwa kupita ni pamoja na Italia waliowahi kuchukua kombe hilo mara nne, Uholanzi, Cameroon.

Mpangilio wa makundi ya mashindano

Namba kwenye mabano zinaonyesha nafasi ya timu katika utathmini wa ubora wa FIFA.

Kundi A Kundi B Kundi C Kundi D
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Urusi (70) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ureno (4) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ufaransa (7) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Argentina (5)
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uarabuni wa Saudia (67) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Hispania (10) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Australia (36) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Iceland (22)
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Misri (45) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Moroko (41) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Peru (11) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kroatia (20)
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uruguay (14) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Iran (37) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Denmark (12) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Nigeria (48)
Kundi E Kundi F Kundi G Kundi H
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Brazil (2) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ujerumani (1) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ubelgiji (3) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Poland (8)
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswisi (6) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Meksiko (15) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Panama (55) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Senegal (27)
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kosta Rika (23) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswidi (24) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Tunisia (21) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kolombia (16)
Kombe La Dunia La Fifa 2018  Serbia (34) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Korea Kusini (57) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uingereza (12) Kombe La Dunia La Fifa 2018  Japan (61)

Matokeo ya makundi

Washindi wawili wa kila kundi waliendelea (rangi ya kibichi).

Kundi A

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uruguay 9 3 3 0 0 5 0 +5
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Urusi 6 3 2 0 1 8 4 +4
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uarabuni wa Saudia 3 3 1 0 2 2 7 -5
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Misri 0 3 0 0 3 2 6 -4

Kundi B

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Hispania 5 3 1 2 0 6 5 +1
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ureno 5 3 1 2 0 5 4 +1
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Iran 4 3 1 1 1 2 2 0
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Moroko 1 3 0 1 2 2 4 -2

Kundi C

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ufaransa 7 3 2 1 0 3 1 +2
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Denmark 5 3 1 2 0 2 1 +1
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Peru 3 3 1 0 2 2 2 0
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Australia 1 3 0 1 2 2 5 -3

Kundi D

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kroatia 9 3 3 0 0 7 1 +6
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Argentina 4 3 1 1 1 3 5 -2
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Niger 3 3 1 0 2 3 4 -1
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Iceland 1 3 0 1 2 2 5 -3

Kundi E

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Brazil 7 3 2 1 0 5 1 +4
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswisi 5 3 1 2 0 5 4 +1
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Serbia 3 3 1 0 2 2 4 -2
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kosta Rika 1 3 0 1 2 2 5 -3

Kundi F

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswidi 6 3 2 0 1 5 2 +3
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Meksiko 6 3 2 0 1 3 4 -1
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Korea Kusini 6 3 1 0 2 3 3 0
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ujerumani 3 3 1 0 2 2 4 -2

Kundi G

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ubelgiji 9 3 3 0 0 9 2 +7
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uingereza 6 3 2 0 1 8 3 +5
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Tunisia 3 3 1 0 2 5 8 -3
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Panama 0 3 0 0 3 2 11 -9

Kundi H

Na.
Timu
Pointi Michezo Ushindi Sare Kushindwa Goli waliofunga Goli waliofungiwa Tofauti ya goli.
1 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kolombia 6 3 2 0 1 5 2 +3
2 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Japan 4 3 1 1 1 4 4 0
3 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Senegal 4 3 1 1 4 4 3 0
4 Kombe La Dunia La Fifa 2018  Poland 3 3 1 0 2 2 5 -3

Michezo ya ngazi za fainali mwaka 2018

Mashindano ya timu 16 Mashindano ya timu 8 Nusufainali ya timu 4 Fainali ya timu 2
                           
30 Juni - Sochi            
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uruguay   2
6 Julai - Nizhniy Novgorod
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ureno   1  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uruguay   0
30 Juni - Kazan
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ufaransa  2  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ufaransa   4
10 Julai - Sankt Peterburg
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Argentina   3  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ufaransa   1
2 Julai - Samara
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ubelgiji  0  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Brazil   2
6 Julai - Kazan
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Meksiko   0  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Brazil   1
2 Julai - Rostov
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ubelgiji  2  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ubelgiji   3
15 Julai - Moscow
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Japan   2  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ufaransa  4
1 Julai - Moscow
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kroatia  2
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Hispania  1(3)
7 Julai - Sochi
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Urusi  1(4)  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Urusi   2(3)
1 Julai - Nizhniy Novgorod
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kroatia  2(4)  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kroatia   1(3)
11 Julai - Moscow
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Denmark   1(2)  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kroatia  2
3 Julai - Sankt Peterburg
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uingereza   1   Mshindi wa tatu
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswidi   1
7 Julai - Samara 14 Julai - Sankt Peterburg
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswisi   0  
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uswidi   0   Kombe La Dunia La Fifa 2018  Ubelgiji  2
3 Julai - Moscow
    Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uingereza  2     Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uingereza  0
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Kolombia   1(3)
  Kombe La Dunia La Fifa 2018  Uingereza   1(4)  

Tanbihi

Kombe La Dunia La Fifa 2018  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Kombe la Dunia la FIFA 2018 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kombe La Dunia La Fifa 2018 Mchakato wa zabuniKombe La Dunia La Fifa 2018 TimuKombe La Dunia La Fifa 2018 Mpangilio wa makundi ya mashindanoKombe La Dunia La Fifa 2018 Matokeo ya makundiKombe La Dunia La Fifa 2018 Michezo ya ngazi za fainali mwaka 2018Kombe La Dunia La Fifa 2018 TanbihiKombe La Dunia La Fifa 201814 Juni15 Julai2018DunianiSokaTimuUrusiWanaume

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KampuniBawasiriPemba (kisiwa)BiasharaUnyevuangaUbongoKishazi tegemeziPijini na krioliEdward Ngoyai LowassaUlayaUmemeUNICEFKamusiInsha ya wasifuSkeliJakaya KikweteWabunge wa Tanzania 2020Mkoa wa ArushaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaAgano JipyaOrodha ya mito nchini TanzaniaFasihi simuliziMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaMange KimambiNambaKimondo cha MboziMkoa wa SimiyuStadi za lughaTafsidaVasco da GamaKata za Mkoa wa Dar es SalaamEe Mungu Nguvu YetuUkooSemiSintaksiKilwa KisiwaniWanyama wa nyumbaniMuziki wa hip hopUkoloniTungo sentensiTungoAustraliaLava Lava (mwimbaji)Mtakatifu PauloReal MadridUmoja wa AfrikaNguzo tano za UislamuMaliasiliFamiliaSexFasihiVitenzi vishirikishi vikamilifuAngahewaKarafuuYouTubeBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiVivumishi vya jina kwa jinaMatumizi ya LughaWamanyemaInsha ya kisanaaAdolf HitlerKaswendeWilaya ya NyamaganaPasaka ya KikristoBabeliWasukumaDhima ya fasihi katika maishaKataMichezo ya jukwaaniUwanja wa Taifa (Tanzania)Bomu la nyukliaShuleBara🡆 More