Chanjo Ya Bcg

Chanjo ya Bacillus Calmette–Guérin (BCG) ni chanjo ambayo kimsingi hutumika dhidi ya kifua kikuu.

Chanjo ya BCG
Chanjo Ya Bcg
Microscopic image of the Calmette-Guérin bacillus, Ziehl–Neelsen stain, magnification:1,000nn
Vaccine description
Target disease Tuberculosis
Type Live bacteria
Clinical data
AHFS/Drugs.com Kigezo:Drugs.com
Pregnancy cat. C(US)
Legal status -only (US)
Routes Percutaneous
Identifiers
ATC code J07AN01
DrugBank DB12768
ChemSpider none

Katika nchi ambazo kifua kikuu ni kawaida, kipimo kimoja cha dawa kinapendekezwa kwa watoto walio na afya nzuri sawa na afya yao wakati wa kuzaliwa. Watoto walio na virusi vya UKIMWI wanafaa kupewa chanjo. Katika maeneo ambayo kifua kikuu si kawaida, watoto tu wenye hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa huo hupewa chanjo na sehemu zinazoshukiwa kupimwa na kutibiwa. Watu wazima ambao hawana ugonjwa wa kifua kikuu na hawakupewa chanjo lakini mara kwa mara miili yao hukataa kutumia dawa, kifua kikuu kinaweza pia kupewa chanjo.

Viwango vya kinga hutofautiana sana na hudumu kwa kati ya miaka kumi na ishirini. Miongoni mwa watoto, chanjo hii huzuia karibu 20% dhidi ya kupata ugonjwa na miongoni mwa wale ambao huathiriwa husaidia nusu yao dhidi ya kupata ugonjwa huo. Chanjo hii hutolewa kwa kudungwa sindano mwilini. Vipimo vya ziada haviungwi mkono kwa ushahidi. Pia, inaweza kutumika katika matibabu ya baadhi ya aina nyingine ya saratani ya kibofu cha mkojo.

Athari kuu ni nadra. Mara nyingi kuna wekundu, kuvimba, na uchungu mkali kwenye sehemu iliyodungwa sindano. Kidonda kidogo pia kinaweza kujiunda na kuacha kovu baada ya kupona. Madhara ni ya kawaida sana na yanaweza kuwa makali sana kwa wale ambao wana kinga duni. Si salama kwa matumizi wakati wa ujauzito. Chanjo hii iliasisiwa kutoka kwa Mycobacterium bovis ambayo hupatikana sana kwa ng'ombe. Huku ishafanywa kuwa hafifu bado ipo na inafanya kazi.

Chanjo ya BCG ilitumika mara ya kwanza mwaka wa 1921. Ipo kwenye Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika La Afya Duniani, dawa muhimu zaidi inayohitajika kwenye mfumo wa afya. Bei ya jumla ni dola 0.16 kwa kila kipimo mnamo 2014. Gharama yake Marekani ni kati ya dola 100 na 200. Kila mwaka chanjo hii hutolewa kwa watoto karibu milioni 100.

Tazama pia

Chanjo Ya Bcg  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chanjo ya BCG kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChanjoKifua kikuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MwanaumeMwanzo (Biblia)SabatoAli KibaViwakilishi vya kuoneshaKiimboNomino za pekeeMandhariSheriaMariooWanyakyusaMnyamaHoma ya matumboMarekaniPasakaMisimu (lugha)FutiNuktambiliNambaUsanifu wa ndaniLongitudoUkatiliMbadili jinsiaMaambukizi ya njia za mkojoFananiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMkoa wa PwaniMagonjwa ya kukuUmaskiniJakaya KikweteVitendawiliMtakatifu MarkoElimuNguruweZuchuMichezoIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Namba za simu TanzaniaMkoa wa LindiRaiaDhamiraKunguruCristiano RonaldoMkoa wa ArushaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniHurafaMsamahaMperaIkwetaLahajaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaViwakilishi vya pekeeImaniHistoria ya KanisaTume ya Taifa ya UchaguziJamiiMahindiMbogaClatous ChamaShukuru KawambwaAgano JipyaBunge la TanzaniaInsha ya wasifuSteven KanumbaRicardo KakaAgano la KaleKidole cha kati cha kandoMange KimambiPichaWanyaturuPentekosteTashihisi🡆 More