10°44′09″N 47°14′42″E / 10.73583°N 47.24500°E / 10.73583; 47.24500https://www.duhoctrungquoc.vn/wiki/index.php?lang=sw&q=Milima_Cal_Madow&action=edit
Milima ya Cal Madow ni safu ya milima ya Somaliland (Somalia, Pembe ya Afrika) ambapo wanyama wengi wa pekee wa Afrika na dunia kwa jumla wanaishi.
Milima hii ni kati ya maeneo machache ya Somliland na Somalia kwa jumla penye misitu. Kimo chake kinafikia hadi mita 2,410 juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima Cal Madow kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Milima Cal Madow, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.