Bursa

Bursa (kihistoria pia una julikana kama Prussa, Kigiriki: Προύσα, halafu baadaye waliita Brusa) ni mji ulioko mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bursa.

Bursa
Mji wa Bursa katika Uturuki.

Mji una wakazi wapatao 1,562,828 (2007). Huu ni mji wa nne kwa ukubwa katika Uturuki, ukiwa pamoja na kuwa kama ndiyo mji wenye ukuwaji mkubwa wa viwanda na kilimo katika nchi.

Mji wa Bursa upo mjini kaskazini-magharibi katika mapolomoko ya Mlima Uludağ Kusini mwa Mkoa wa Marmara. Mji umepakana kabisa na Bahari ya Marmara na Yalova katika kaskazini, Kocaeli na Sakarya katika kaskazini-mashariki, Bilecik katika mashariki na Kütahya na Balıkesir ipo kunako kusini.

Viungo vya nje


Bursa 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Bursa  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KigirikiMkoa wa BursaUturuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dolar ya MarekaniLughaMachweoSimu za mikononiOrodha ya Marais wa TanzaniaMizimuKukuKitenzi kikuu kisaidiziOsama bin LadenNandyTendo la ndoaRufiji (mto)Homa ya matumboChumaMaktabaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniVita Kuu ya Kwanza ya DuniaAdolf HitlerTanzania Breweries LimitedFred MsemwaRashidi KawawaUnyenyekevuMofimuNdoaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMkoa wa LindiUundaji wa manenoAmri KumiKombe la Dunia la FIFAParachichiKiboko (mnyama)Vita Kuu ya Pili ya DuniaMauaji ya kimbari ya RwandaKiarabuKatekisimu ya Kanisa KatolikiMwaka wa KanisaOrodha ya makabila ya TanzaniaNafsiSkautiChanika (Ilala)Historia ya ZanzibarUgonjwa wa akiliJoseph Sinde WariobaMkurugenziLionel MessiJumuiya ya Afrika MasharikiMbaazi (mmea)Uharibifu wa mazingiraDhanaVasco da GamaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMaajabu ya duniaHistoria ya KanisaMwakaHistoriaUandishi wa inshaMaana ya maishaMuhammadMdalasiniKishazi tegemeziZiwa NatronShinaKiambishiFiston MayeleVivumishiBarua pepeRaiaUmoja wa MataifaUfugaji wa kukuWahaShikamooShetaniWayahudi🡆 More