Baharia Sindbad (pia: Sinbad; Kar.
Katika hadithi hizi Sindbad ni mtu wa mji wa Basra (Iraki ya leo) wakati wa Ukhalifa wa Waabbasi na hasa khalifa Harun al-Rashid.
Hadithi ya Sindbad zinasimulia habari za safari zake saba kwenye bahari upande wa mashariki wa Afrika na kusini za Asia. Katika safari hizi anakutana na maajabu mengi, madubwana na kupita kwenye hatari nyingi.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Baharia Sindbad, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.