Alice Walker

Alice Malsenior Walker (amezaliwa 9 Februari 1944) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani.

Aliandika hasa riwaya na mashairi yanayoonyesha hali ya Wamarekani-Waafrika. Anajulikana hasa kwa riwaya yake “Rangi ya Zambarau” (kwa Kiingereza: The Color Purple) iliyotolewa 1982. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya hiyo.

Alice Walker
Alice Walker
Amezaliwa 9 Februari 1944
Georgia, Marekani
Kazi yake Mwandishi, Mshairi
Kipindi 1968–hadi leo
Ndoa Melvyn Rosenman Leventhal (walioana 1967, waliwachana 1976)
Watoto Rebecca Walker
Tovuti http://alicewalkersgarden.com/
Alice Walker Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

194419839 FebruariMarekaniMashairiRiwayaTuzo ya Pulitzer ya Bunilizi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

John MagufuliVitendawiliAmina ChifupaMohammed Gulam DewjiBaruaUturukiHistoria ya TanzaniaTaarabShukuru KawambwaNairobiIbadaWanyaturuMperaUhindiInsha ya wasifuSteven KanumbaMkoa wa MorogoroBikira MariaMpira wa miguuSaidi NtibazonkizaKylian MbappéJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUti wa mgongoWarangiMkunduTungo sentensiAngahewaMusaP. FunkPunyetoMajina ya Yesu katika Agano JipyaNandyMtume PetroNg'ombe (kundinyota)Kamusi ya Kiswahili sanifuKipimajotoKunguruSarufiMshambuliajiNyaraka za PauloMsokoto wa watoto wachangaMsamahaUkabailaMofimuMaadiliKhadija KopaKilimoKumaErling Braut HålandOrodha ya milima mirefu dunianiMagonjwa ya kukuShinikizo la juu la damuMaghaniInjili ya YohaneAlomofuUnyevuangaLigi Kuu Uingereza (EPL)Historia ya AfrikaSamia Suluhu HassanArsenal FCUpepoMkoa wa ArushaUmoja wa MataifaMwaka wa KanisaMkoa wa LindiReal MadridBiasharaWilaya ya MafiaJumuiya ya Afrika MasharikiMbaraka MwinsheheBaraMtume YohaneMshororoC++Orodha ya makabila ya KenyaOrodha ya Magavana wa TanganyikaIni🡆 More