Katekisimu

Katekisimu (pia katekesimo; kwa Kigiriki κατηχισμός, katekismos, kutokana na maneno kata = chini + echein = kusikika masikioni) ni kitabu chenye muhtasari wa mafundisho ya imani na maadili ya Kikristo.

"Katekisimu" ni tahajia ya kawaida kwa Wakatoliki, "katekesimo" ni tahajia upande wa Waprotestanti.

Katekisimu
Codex Manesse, fol. 292v, "Mwalimu wa Esslingen" (Der Schulmeister von Eßlingen)
Katekisimu
Kipindi cha katekesi huko India, 1939.

Historia

Vitabu vya namna hiyo vinatumika toka karne za kwanza za Kanisa la Magharibi hasa kwa kuandaa watu kupokea ubatizo na sakramenti nyingine.

Mara nyingi mafundisho hayo yanatolewa kwa namna ya majibizano, yaani maswali yakifuatwa na majibu ambayo yanafaa kukaririwa.

Wakati wa matengenezo ya Kiprotestanti, katekesimo ndogo ya Martin Luther, pamoja na katekesimo kubwa, ilijumlisha mafundisho ya kimsingi kwa wafuasi wake.

Wakati huo hata Wakatoliki walitunga katekisimu mbalimbali; maarufu zaidi ni ile ya Petro Kanisi.

Katekisimu ya Kanisa Katoliki, iliyotolewa na Papa Yohane Paulo II kufuatana na Mtaguso wa pili wa Vatikano, ndiyo katekisimu rasmi ya Kanisa hilo na ndiyo inayotumika zaidi duniani siku hizi.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Katekisimu  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katekisimu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Katekisimu HistoriaKatekisimu TanbihiKatekisimu MarejeoKatekisimu Viungo vya njeKatekisimuImaniKigirikiKitabuMaadiliMuhtasariTahajiaUkristoWakatolikiWaprotestanti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KumaViwakilishi vya sifaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMichael JacksonTambikoMkoa wa RuvumaNgono zembeMobutu Sese SekoHistoria ya UislamuNomino za pekeeRoho MtakatifuKiburiWilaya ya ArumeruZabibuNetiboliBungeTabainiKitenziChemsha BongoVirusi vya CoronaHisaBendera ya ZanzibarMawasilianoBaruaGoba (Ubungo)KihusishiElimuMwanzo (Biblia)Katekisimu ya Kanisa KatolikiTabianchiMabiboMaana ya maishaAbrahamuVieleziSarangaRamaniNusuirabuNembo ya TanzaniaOmmy DimpozKamusiMbeziUgonjwa wa uti wa mgongoMartha MwaipajaBunge la TanzaniaAndalio la somoSelemani Said JafoSteve MweusiHifadhi ya mazingiraMbagalaPaul MakondaJohn Samwel MalecelaMjombaAlomofuMariooMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMichezoMickey MouseAlgorithimu uchanguajiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiLahajaHistoria ya AfrikaWilaya za TanzaniaUandishi wa barua ya simuMbwana SamattaTendo la ndoaMsamiatiFamiliaMimba kuharibikaUtawala wa Kijiji - TanzaniaHistoria ya KiswahiliSintaksi🡆 More