Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi

Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi (Beiwangtou, 1844 hivi - Beiwangtou, 3 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na kaka yake Petro Zhao Mingzhen.

Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Bila kujali usalama wao, walikuwa wanajitahidi kusaidia wanawake na watoto Wakristo kukimbia, na ndipo walipouawa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 3 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

184419003 JulaiChinaKakaMleiPetro Zhao MingzhenUasi wa MabondiaUkristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Magonjwa ya kukuNgamiaTunu PindaTungo kiraiNairobiWagogoWiktionaryDhima ya fasihi katika maishaWamandinkaSakramentiMafarisayoUmaMbuNeemaDodoma (mji)KihusishiPandaBendera ya KenyaUislamuNdegeWiki FoundationUtamaduniAfyaMalawiMaradhi ya zinaaXXMazungumzoTungo sentensiDamuMichelle ObamaChawaUgaidiMaambukizi nyemeleziNgono zembeKiboko (mnyama)Kombe la Dunia la FIFAMapinduzi ya ZanzibarMike TysonOrodha ya miji ya TanzaniaAsidiTafsiriHekalu la YerusalemuKipindi cha PasakaMbeya (mji)Lil WayneEe Mungu Nguvu YetuTanzaniaKisononoKifo cha YesuMaghaniAbedi Amani KarumeWazaramoTanzania Breweries LimitedOrodha ya makabila ya TanzaniaNileAsili ya KiswahiliUandishi wa barua ya simuNomino za wingiDumaWabena (Tanzania)Mwanza (mji)Mkoa wa Unguja Mjini MagharibiDawa za mfadhaikoFonolojiaVivumishi vya kumilikiMkoa wa ShinyangaNyegerePunyetoFasihi andishiUnyevuanga🡆 More