'
Willard Boyle | |
---|---|
Willard Boyle | |
Amezaliwa | 19 Agosti, 1924 |
Amefariki | 7 Mei, 2011 |
Kazi yake | mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada |
Willard Sterling Boyle (19 Agosti, 1924 - 7 Mei, 2011) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada aliyepata uraia wa Marekani pia. Hasa amechunguza vipitishi vya umeme. Mwaka wa 2009, pamoja na Charles Kao na George E. Smith, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Willard Boyle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Willard Boyle, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.