Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1996 ulikuwa wa 53 katika historia ya Marekani.
Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Bill Clinton (pamoja na kaimu wake Al Gore) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Bob Dole (pamoja na kaimu wake Jack Kemp).
Clinton akapata kura 379, na Dole 159. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1996, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.