Sylvester Stallone

Sylvester Gardenzio Stallone (amezaliwa tar.

6 Julai 1946), amepewa jina la utani kama Sly Stallone, ni mshindi wa Tuzo za Academy - akiwa kama mwigizaji, mwongozaji na mwindishi-skrini bora wa filamu wa Kimarekani.

Sylvester Stallone
Sylvester Stallone
Sylvester Stallone mnamo 2012
Amezaliwa Sylvester Gardenzio Stallone
6 Julai 1946 (1946-07-06) (umri 77)
New York, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, Mwongozaji, Mtunzi
Miaka ya kazi 1970–mpaka sasa
Ndoa Sasha Czack (1974–1985)
Brigitte Nielsen (1985–1987)
Jennifer Flavin (1997–mpaka sasa)

Huyu ni mmoja kati wa watu walioingiza fedha nyingi sana katika sanduku la ofisi kwa miaka ya 1970 na 1990. Sylvester Stallone, ni kioo na shujaa wa filamu za mapigano. Amecheza nyusika mbili ambazo ni mashuhuri sana: Rocky Balboa, mwana-masumbwi mmoja aliyeshinda mashindano kwa kupigana kwa upenzi na imani, na John Rambo, askari shupavu aliyefanya kazi za hatari vitani.

Marejeo

Viungo vya nje

Sylvester Stallone 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Sylvester Stallone 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Sylvester Stallone  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvester Stallone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19466 JulaiMarekaniMwongozaji wa filamuTuzo za Academy

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RadiBaruaJinaTungoLugha ya taifaRejistaPapaMiundombinuVasco da GamaDoto Mashaka BitekoUshairiBikira MariaLeonard MbotelaUkutaAmfibiaUmaskiniDini asilia za KiafrikaAla ya muzikiMaambukizi ya njia za mkojoKiambishiSumakuTendo la ndoaVirusi vya CoronaShahawaDaktariKidole cha kati cha kandoHistoria ya WasanguKonyagiRitifaaMatumizi ya LughaOrodha ya Watakatifu WakristoVirusi vya UKIMWIKiingerezaUsanifu wa ndaniNg'ombeInstagramMadiniJuxKiswahiliUjerumaniUNICEFMartin LutherWanyamaporiTanganyika African National UnionVivumishi vya sifaWasukumaPunda miliaMaudhui katika kazi ya kifasihiMafurikoNgw'anamalundiHistoria ya Kanisa KatolikiNyukiBungeMkoa wa ArushaFasihi andishiKongoshoKisimaUzazi wa mpango kwa njia asiliaAsidiJamiiKonsonantiHoma ya matumboMtumbwiKisaweKutoka (Biblia)Afrika ya MasharikiVieleziSilabiKanisa KatolikiKoroshoMbuniSarufiSaidi NtibazonkizaSiafu🡆 More