Robert Pattinson

Robert Douglas Thomas Pattinson (amezaliwa Mei 13, 1986) ni muigizaji, mwanamitindo, mtayarishaji na mwanamuziki wa Uingereza.

Robert Pattinson
Robert Pattinson

Anajulikana sana kwa kucheza kama vampiri Edward Cullen kwenye sinema Twilight, na Cedric Diggory katika Harry Potter na Goblet of Fire.

Pattinson alizaliwa London, England. Akiwa na umri wa miaka kumi na mbili alifukuzwa shule. Baba yake alimuandikisha katika kilabu cha maigizo, na Pattinson alikiri kwamba alijiunga na kilabu kwa sababu ilikuwa nafasi ya kukutana na wasichana.

Amefanya kazi pamoja na Taylor Lautner, Kristen Stewart, Nikki Reed, Kellan Lutz, Jacson Rathbon na watu wengine wengi wakati akiigiza katika Twilight Saga. Ameshiriki katika sinema nyingi, kama vile The Haunted Airman, Remember Me, Little Ashes, Twilight, New Moon, Eclipse, n.k.

Robert Pattinson Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Pattinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1986Mei 13MuigizajiMwanamitindoMwanamuzikiUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JamiiRita wa CasciaSimuMobutu Sese SekoMvua ya maweNguruwe-kayaUNICEFDiamond PlatnumzHifadhi ya mazingiraVipera vya semiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMkoa wa SongweLongitudoMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaKidole cha kati cha kandoShinikizo la juu la damuMkoa wa MwanzaWaparePunda miliaWema SepetuKalenda ya KiislamuMwanamkeMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiUzazi wa mpango kwa njia asiliaHurafaViwakilishi vya kuoneshaBendera ya TanzaniaTambikoMbooMaambukizi ya njia za mkojoMnururishoAunt EzekielNusuirabuWilaya ya IlalaUhifadhi wa fasihi simuliziUmoja wa AfrikaOrodha ya milima ya AfrikaVivumishi vya pekeeOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaWayback MachineUajemiAfrika Mashariki 1800-1845Afrika KusiniBendera ya ZanzibarDawatiSoko la watumwaUvimbe wa sikioKanga (ndege)WikipediaJohn MagufuliJoyce Lazaro NdalichakoSimbaRicardo KakaGoba (Ubungo)AntibiotikiUjerumaniMkoa wa KigomaUpepoDaudi (Biblia)Hali ya hewaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMariooUenezi wa KiswahiliMizimuJose ChameleoneRohoMapinduzi ya ZanzibarMkoa wa MaraUhakiki wa fasihi simuliziKiimboMatumizi ya LughaWimbo🡆 More