Philadelphia ni mji wa Marekani katika jimbo la Pennsylvania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 5.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Philadelphia | |||
| |||
Mahali pa mji wa Philadelphia katika Marekani | |||
Majiranukta: 39°59′53″N 75°8′41″W / 39.99806°N 75.14472°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Pennsylvania | ||
Wilaya | Philadelphia | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,447,395 | ||
Tovuti: http://www.phila.gov/ |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Philadelphia, Pennsylvania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Philadelphia, Pennsylvania, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.