Nyandu Tozzy

Hamidu Salim Chambuso (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Dogo Hamidu na baadaye Nyandu Tozzy; amezaliwa 2 Julai 1987) ni msanii wa muziki wa rap kutoka nchini Tanzania,

Nyandu alianza muziki mwishoni mwa miaka ya 2000 na amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa wa Tanzania akiwa ni pamoja na Profesa Jay, Soggy Doggy Hunter, Unique Sisters, Taff B., Young Dee mara mbili katika "Nimekasirika (2012) na "Double Double" (2017), Fid Q, Dudu Baya, Chin Bees, Mr. Blue akiwa kama mwanachama mwenza katika kundi la B.O.B Click.

Katika kazi yake ya muziki, amewahi kuwa sehemu ya kundi la muziki la "New Jack Family" kabla ya hapo alikuwa na akina Slim ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la CBM Crew. Baadaye alisimama muziki lakini alivyorudi tena, wakaanzisha B.O.B Micharazo akiwa na Mr. Blue, Becka Title, Blood Gaza, Bobby MC, Cotton, Uswege, na wasanii wengine.

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

19872 JulaiMsaniiMuzikiRapTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NidhamuMagonjwa ya machoHewaJamhuri ya KongoSheriaMatumizi ya LughaKipepeoBurundiMazingiraUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaKoloniAli Hassan MwinyiVasco da GamaWilliam RutoSaida KaroliSerikaliNambaUpinde wa mvuaGeorDavieLenziNairobiAlasiriHaki za binadamuMwaniSimba S.C.UlayaTheluthiWizara za Serikali ya TanzaniaNgeli za nominoNyokaMaharagweKifua kikuuRushwaKisawePijini na krioliKipimajotoUsafiriKamusi za KiswahiliWachaggaChumaMnyoo-matumbo MkubwaUkooTeknolojiaSkeliBunge la Umoja wa AfrikaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaLGBTChombo cha usafiriMajira ya baridiTanganyika African National UnionAla ya muzikiSeli za damuPesaAfyaMorokoMwanzoKata za Mkoa wa Dar es SalaamMaambukizi ya njia za mkojoMpwaMkanda wa jeshiMarie AntoinetteUtawala wa Kijiji - TanzaniaFasihi andishiUmaskiniVirutubishiSalama JabirMenoHistoria ya AfrikaBaruaTanganyika (ziwa)MaliasiliMfumo wa mzunguko wa damuBustani ya wanyamaInjili ya LukaMavaziJohn Raphael Bocco🡆 More