Marangu

Marangu ni mji ulioko katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro.

Marangu
Lango la kuingia Kilimanjaro National Park.
Marangu
Maporomoko ya Maji ya Marangu.
Marangu
Marangu.

Neno "Marangu" linamaanisha mahali penye vijito vingi vya maji. Mji huu ni kati ya maeneo maarufu nchini Tanzania.

Historia

Kabla ya uhuru mwaka 1961, mji wa Marangu ulikuwa makao makuu ya wilaya ya Vunjo iliyokuwa chini ya (Mangi Mwitori) Petro Itosi Marealle na (Mangi Mkuu) Thomas Marealle, aliyepewa ufalme mwaka 1951, ambaye aliishi katika mji wa Moshi.

Uchumi

Wakazi wengi wa Marangu ni wakulima wa ndizi, mboga za majani na kahawa. Hata hivyo, chanzo kikuu cha mapato ni utalii kutokana na Mlima Kilimanjaro na vivutio vingine.

Elimu

Shule mbalimbali na vyuo, kama vile Chuo cha Ualimu cha Marangu na Shule ya Wasichana ya Ashira, viko katika mji huu vikitoa huduma kwa wanafunzi toka maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Tazama pia

Marangu  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marangu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Marangu HistoriaMarangu UchumiMarangu ElimuMarangu Tazama piaMaranguMjiMkoa wa KilimanjaroWilaya ya Moshi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MasharikiOrodha ya miji ya Afrika KusiniDioksidi kaboniaAndalio la somoMvuaKwaresimaUturukiEthiopiaWayahudiManchester CityOrodha ya Marais wa BurundiJoseph Leonard HauleKitenzi kikuuMtende (mti)TelevisheniKinembe (anatomia)MakkaHistoria ya KanisaMkoa wa DodomaMbuKoffi OlomideAngahewaDhima ya fasihi katika maishaHistoria ya WapareOrodha ya Marais wa UgandaWazaramoMashariki ya KatiKiungo (michezo)Zama za ChumaMbuniNgeli za nominoAfande SeleUlumbiMisemoKumaBabeliOrodha ya vitabu vya BibliaTupac ShakurKitabu cha ZaburiReal BetisUtandawaziAgano JipyaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUajemiMbooMohammed Gulam DewjiKiunzi cha mifupaRené DescartesMaghaniMzabibuVita ya Maji MajiLeopold II wa UbelgijiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaInsha ya wasifuMkoa wa Dar es SalaamWema SepetuHarusiAustraliaKhadija KopaVivumishi vya -a unganifuSumakuPijini na krioliOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaNenoSaidi NtibazonkizaMsalaba wa YesuGesi asiliaUkooAslay Isihaka NassoroPalestinaMashuke (kundinyota)🡆 More