Hospitali ya Kilutheri ya Marangu inapatikana Marangu, mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania na inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania dayosisi ya Kaskazini.
Hospitali hii ilifunguliwa mwaka 1907, ilianza kama kituo cha kutoa huduma ya kwanza na kukua taratibu mpaka kufikia hadhi ya kuitwa hospitali ya Wilaya. Hospitali ya Marangu ina jumla ya vitanda 80, na inahudumia watu takribani 300,000, kutoka maeneo ya Marangu Holili, Himo na Uchira
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hospitali ya Marangu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.