Malengo Endelevu: Michael Octavian Mwananzila

Malengo Endelevu (kwa Kiingereza: Sustainable Development Goals, kifupi: SDGs) ni mkusanyo wa malengo 17 yalopangiliwa kwa faida ya watu wote.

Malengo Endelevu: Michael Octavian Mwananzila
Vijana wa Peru wakiwa wameshika mabango ya Malengo Endelevu.

Malengo endelevu yalianzishwa mwaka 2015 na Baraza kuu la Umoja wa Mataifa likiwa na malengo ya kufikiwa mwaka 2030, kama sehemu za ajenda za mwaka 2030.

Malengo endelevu ni:

  1. Kutokomeza Umaskini
  2. Kukomesha Njaa
  3. Afya Njema na Ustawi
  4. Elimu Bora
  5. Usawa wa Kijinsia
  6. Maji Salama na Usafi
  7. Nishati Mbadala na Gharama Nafuu
  8. Kazi Zenye Staha na Ukuaji
  9. Viwanda Ubunifu na Miundo Mbinu
  10. Kupunguza Tofauti
  11. Miji na Jamii Endelevu
  12. Matumizi Uzalishaji Wenye Uwajibikaji
  13. Kuchukua Hatua Dhidi ya Mabadiliko ya Tabia Nchi
  14. Kuendeleza Uhai katika Maji
  15. Kulinda Uhai katika Ardhi
  16. Amani Haki na Taasisi Madhubuti
  17. Ushirikiano katika Kufanikisha Malengo

Marejeo

Tags:

KifupiKiingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KifaruOrodha ya nchi za AfrikaMahakama ya TanzaniaUgonjwaMohamed HusseinHoma ya mafuaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKiingerezaHarmonizeLafudhiDoto Mashaka BitekoNdunivvjndRufiji (mto)Kimeng'enyaMauaji ya kimbari ya RwandaBiblia ya KikristoKiswahiliMatumizi ya LughaKilimanjaro (volkeno)MafurikoMivighaHuduma ya kwanzaMajira ya mvuaUaUandishi wa inshaHekalu la YerusalemuTanganyika (maana)Azimio la ArushaTenzi tatu za kaleSinagogiUturukiVita vya KageraUbadilishaji msimboTabataJumuiya ya Afrika MasharikiChakulaAlomofuWahaNamba za simu TanzaniaBiasharaKomaHerufiShinikizo la juu la damuMwaniUpinde wa mvuaMsamahaVielezi vya idadiMkutano wa Berlin wa 1885KongoshoMkoa wa KilimanjaroTarbiaWahadzabeSaidi NtibazonkizaOrodha ya kampuni za TanzaniaMpira wa mkonoMaji kujaa na kupwaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaUmememajiKiumbehaiMkopo (fedha)JichoUajemiMkuu wa wilayaMkoa wa LindiHafidh AmeirYouTubeVielezi vya mahaliKiraiUgonjwa wa uti wa mgongo🡆 More