Machansela Wa Ujerumani

Chansela wa Ujerumani (kwa Kijerumani: Bundeskanzler, katika fasihi: chansela wa shirikisho) ni kiongozi wa serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.

Chansela wa Ujerumani huchaguliwa na jopu la wabunge wa shirikisho hilo la Ujerumani (Bundestag).

Machansela Wa Ujerumani
Jengo la Machansela la mjini Berlin ndiyo kitako cha Machansela.

Chansela wa sasa wa Ujerumani ni Olaf Scholz wa chama cha (SPD).

Bundeskanzler (tangu 1949)

Orodha ya Machansela tangu 1949

  1. Konrad Adenauer (CDU), 1949-1963
  2. Ludwig Erhard (CDU), 1963-1966
  3. Kurt Georg Kiesinger (CDU), 1966-1969
  4. Willy Brandt (SPD), 1969-1974
  5. Helmut Schmidt (SPD), 1974-1982
  6. Helmut Kohl (CDU), 1982-1998
  7. Gerhard Schröder (SPD), 1998-2005
  8. Angela Merkel (CDU), 2005-2021
  9. Olaf Scholz (SPD), 2021-

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Machansela Wa Ujerumani 
WikiMedia Commons

Tags:

Machansela Wa Ujerumani Bundeskanzler (tangu 1949)Machansela Wa Ujerumani Tazama piaMachansela Wa Ujerumani MarejeoMachansela Wa Ujerumani Viungo vya njeMachansela Wa UjerumaniKijerumaniShirikisho la Jamhuri ya Ujerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSomo la UchumiNomino za wingiKuraniZiwa ViktoriaMungu ibariki AfrikaUhakiki wa fasihi simuliziChuiAKidoleMishipa ya damuHaki za wanyamaUnyenyekevuFIFAChumaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniZuhuraBaraThrombosi ya kina cha mishipaJinaUchumiShirikisho la MikronesiaYouTubeUkooAdolf HitlerTetemeko la ardhiKaswendeLugha za KibantuBinadamuNchiRitifaaOrodha ya Marais wa TanzaniaJumapili ya matawiPijiniNguruweJumaAmaniNyweleMapambano ya uhuru TanganyikaVivumishi vya kuoneshaKiangaziRadiMivighaAishi ManulaAbd el KaderUjimaKipindupinduFarasiRaila OdingaSaratani ya mlango wa kizaziMuundoUyogaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaHifadhi ya mazingiraKipimajotoUtegemezi wa dawa za kulevyaUkabailaSalama JabirVivumishi vya ambaJay MelodyUislamu kwa nchiPumuUkristoNamba za simu TanzaniaEthiopiaHistoria ya UislamuUfaransaKunguruUtoaji mimbaSensaOrodha ya vitabu vya BibliaMji mkuuDaftariMkoa wa ArushaKito (madini)🡆 More