MV Bukoba ilikuwa feri iliyokuwa ikitoa huduma ya kubeba mizigo na abiria katika Ziwa Viktoria kati ya bandari za Bukoba na Mwanza.
Tarehe 21 Mei 1996 ilizama kwenye njia ya kuelekea Mwanza. Abiria wengi walikufa na idadi yao imekadiriwa kuwa 1,000 hivi, lakini idadi iliyotangazwa rasmi ilikuwa 894.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article MV Bukoba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.