Charles Lutwidge Dodgson, au Lewis Carroll (Daresbury 27 Januari 1832 – Guildford 14 Januari 1889), alikuwa mwandishi wa riwaya nchini Uingereza.
Hususani anafahamika zaidi kwa riwaya yake ya Alice's Adventures in Wonderland (1865) na Through the Looking-Glass, and What Alice Found There (1871).
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lewis Carroll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Lewis Carroll, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.