Leave Me Alone kilikuwa kibao cha nane kutolewa katika albamu ya msanii wa rekodi ya muziki Michael Jackson.
Kibao hiki kinatoka katika albamu yake ya saba ya mwaka wa 1987, Bad. Kibao hiki kinaonekana katika toleo la CD la albamu kikiwa kama wimbo wa ziada kwenye albamu na wala hakikutolewa kama single kwa nchini Marekani. Kibao hiki kiliwekwa kama moja ya sehemu ya filamu ya Jackson ya 1988 Moonwalker na kushika nafasi ya 1 nchini UK New Musical Express. Kibao hiki kilikuja kutolewa tena upya mnamo tar. 17 Aprili 2006 kikiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles.
“Leave Me Alone” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Bad | |||||
Imetolewa | Januari 1989 | ||||
Muundo | CD single (haijatolewa nchini Marekani) | ||||
Imerekodiwa | 1987 | ||||
Aina | Funk, R&B, Rock | ||||
Urefu | 4:37 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Chati (1989) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 37 |
Austrian Singles Chart | 15 |
Dutch Top 40 | 5 |
French Singles Chart | 17 |
Irish Singles Chart | 1 |
Italian Singles Chart | 8 |
Norwegian Singles Chart | 6 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Swedish Singles Chart | 19 |
Swiss Singles Chart | 10 |
UK Singles Chart | 2 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
UK Singles Chart | 66 |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leave Me Alone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Leave Me Alone, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.