Kitumbuka ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Watumbuka.
Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitumbuka nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Pia kuna wasemaji 142,000 nchini Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitumbuka iko katika kundi la N20.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitumbuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kitumbuka, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.