Kitahiti

Kitahiti ni lugha ya Kiaustronesia inayozungumzwa na Watahiti nchini Polinesia ya Kifaransa amapo ni lugha ya taifa.

Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitahiti imehesabiwa kuwa watu 63,000 nchini Polinesia ya Kifaransa na wasemaji 5260 katika nchi nyingine. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitahiti iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

Kitahiti  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitahiti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Lugha ya taifaLugha za KiaustronesiaPolinesia ya Kifaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KonsonantiMkanda wa jeshiMkoa wa LindiMadiniAmaniFranco Luambo MakiadiBarua pepeFrederick SumayeYouTubeMalaikaBahari ya HindiMweziIstilahiHistoria ya WapareHaki za wanyamaMmomonyokoLucky DubeWagogoDuniaWallah bin WallahAfrika ya MasharikiBogaMikoa ya TanzaniaTanzania Breweries LimitedMkoa wa KigomaChawaZambiaMkoa wa RuvumaMlipuko wa virusi vya corona 2019-20Uislamu nchini São Tomé na PríncipeFonetikiVivumishiMaziwa ya mamaUtamaduniKataKinyongaKichochoMivighaFonolojiaTendo la ndoaJohn Raphael BoccoMaana ya maishaAdolf HitlerUmojaViwakilishiKombe la Mataifa ya AfrikaKiharusiKhadija KopaMagharibiElimuHisiaTanganyika (maana)Dolar ya MarekaniMaishaNominoNyanda za Juu za Kusini TanzaniaKuku Mashuhuri TanzaniaAkiliVieleziHistoria ya ZanzibarFacebookMafua ya kawaidaKata za Mkoa wa Dar es SalaamWaluoKupatwa kwa JuaTabianchiPijini na krioliKiswahiliMafumbo (semi)Kito (madini)Kitenzi kikuuDamu🡆 More