Kidonda Cha Duodenamu

Ugonjwa wa kidonda cha duodenamu (UKD), huitwao kwa kawaida kidonda cha tumbo, ni mpasuko katika sehemu ya juu ya tumbo, sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo, au mara chache umio.

Kidonda tumboni huitwa kidonda cha tumbo huku kile kilicho kwenye sehemu ya kwanza ya matumbo kikiitwa kidonda cha duodenamu. Dalili ya kawaida sana ni kuamka usiku ukiwa na maumivu ya fumbatio la juu au maumivu ya fumbatio la juu ambayo hupungua unapokula. Maumivu haya mara nyingi huelezwa kuwa maumivu yayanayochoma au yasiyo kali. Dalili zingine hujumuisha kupiga mbweu., kutapika, kupungukiwa na uzani, au kutokuwa na hamu ya kula. Takribani thuluthi ya watu walio wazee zaidi hawawi na dalili. Matatizo yanaweza kujumuisha kuvuja damu, kutoboka, na kuzibika kwa tumbo. Uvujaji damu hutokea kwa asilimia 15 ya watu.

Kidonda cha duodenamu
Mwainisho na taarifa za nje
SpecialtyGastro-enterolojia Edit this on Wikidata
ICD-10K25.–K27.
ICD-9531534
DiseasesDB9819
MedlinePlus000206
eMedicinemed/1776 ped/2341
MeSHD010437

Kisababishi na utambuzi

Visababishi vya kawaida hujumuisha bakteria, Filori helikobakta na dawa ya kumaliza inflamesheni isiyo na steroidi (NSAIDs). Visababishi vingine visivyo vya kawaida hujumuisha uvutaji tobako, mfadhaiko unaotokana na ugonjwa kali, Ugonjwa wa beseti, Sindromu ya ollinger-Ellison, Ugonjwa wa kroni na sirosisi ya maini, kati ya zingine. Watu waliozeeka zaidi huathirika zaidi na athari za NSAIDs. zinazosababisha kidonda Kwa kawaida utambuzi ukadiriwa kwa sababu ya dalili zinazodhihirika zinazodhibitishwa kwa endoskopi au barium swallow. Filori H. inaweza kutambuliwa kwa kufanya uchunguzi wa damu kutambua iwapo inakingamwili, uchunguzi wa pumzi wa urea, kuchunguza kinyesi ili kutambua dalili za bakteria au biopsi ya tumbo. Hali zingine zinazosababisha dalili sawa hujumuisha saratani ya tumbo, ugonjwa wa moyo wa koronari, na inflamesheni ya sehemu ya juu ya tumbo au kibofu cha nyongo.

Uzuiaji na matibabu

Lishe haichangii sana katika kusababisha au kuzuia vidonda. Matibabu hujumuisha kutovuta sigara, kutotumiaNSAIDs, kutokunywa pombe, na dawa za kupunguza asidi ya tumbo. Kwa kawaida dawa inayotumika kupunguza asidi kwa kawaida ni proton pump inhibitor (PPI) au H2 blocker huku matibabu ya wiki nne yakipendekezwa hapo mwanzo. Vidonda vinavyosababishwa na filori H. hutibiwa kwa mchanganyiko wa dawa kama vile amoxicillin, clarithromycin, naPPI. Ukinzani wa antibiotikinti unazidi kuongezeka na hivyo matibabu yanaweza kutosaidia kila wakati. Vidonda vinavyovuja damu vinaweza kutibiwa kwa endoskopi, kwa upasuaji wa wazi unaotumika tu kwa kawaida pale ambapo haijafaulu.

Epidemolojia na historia

Vidonda vya tumbo hupatikana katika takribani asilimia 4 ya watu. Takribani asilimia 10 ya watu hupata kidonda cha tumbo katika wakati fulani maishani mwao. Vilisababisha vifo 301,000 katika mwaka wa 2013 idadi iliyopungua kutoka kwa vifo 327,000 katika mwaka wa 1990. Maelezo ya kwanza ya kidonda cha peptisi kilichotobokayalikuwa katika mwaka wa 1670 katika Princess Henrietta ya Uingereza. filori H. iligunduliwa kwanza katika mwaka wa 1981 na Barry Marshall na Robin Warren.

Marejeleo

Tags:

Kidonda Cha Duodenamu Kisababishi na utambuziKidonda Cha Duodenamu Uzuiaji na matibabuKidonda Cha Duodenamu Epidemolojia na historiaKidonda Cha Duodenamu MarejeleoKidonda Cha DuodenamuTumboUmioUtumbo mdogo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JuxLakabuMadawa ya kulevyaBendera ya KenyaWashambaaTreniVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaViwakilishi vya urejeshiSamia Suluhu HassanKisononoMsamiatiMfumo wa JuaLugha ya taifaUharibifu wa mazingiraVipera vya semiWanyaturuBaraUfugaji wa kukuTetekuwangaVielezi vya mahaliIndonesiaShambaMmeaKiazi cha kizunguAmri KumiUkabailaVitenzi vishirikishi vikamilifuYanga PrincessTupac ShakurUbungoMlongeBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiDalufnin (kundinyota)Vita ya Maji MajiMfumo katika sokaShangaziOrodha ya vitabu vya BibliaMajiJamhuri ya Watu wa ChinaWameru (Tanzania)Marie AntoinetteMapenzi ya jinsia mojaUgonjwaMapenziKata za Mkoa wa MorogoroMbaraka MwinsheheMoscowSodomaPapaMwana FASiriWilaya ya ArushaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMohamed HusseinUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiWilaya ya UbungoPemba (kisiwa)MwanzoAfrikaMkanda wa jeshiShukuru KawambwaTumbakuNguzo tano za UislamuMperaMjombaKalenda ya KiislamuAsili ya KiswahiliRicardo KakaUkristoMaudhui katika kazi ya kifasihi🡆 More