Jamhuri Ya Shirikisho

Jamhuri ya Shirikisho ni muundo wa kisiasa ambako jamhuri hutazamiwa kama maungano wa maeneo ndani yake -kwa kawaida huitwa majimbo- yenye haki zao zisizopewa wala zisizonyanganywa na serikali kuu ya kitaifa.

Katika muundo huu taifa hatawaliwi na serikali moja katika mambo yote lakini madaraka hugawiwa kati ya madaraka ya serikali ya kitaifa na madaraka ya majimbo.

Mara nyingi maazimio kuhusu mambo ya utamaduni hubaki kwenye ngazi ya jimbo lakini pia sehemu za kodi na sisasa ya kiuchumi. Siasa ya nje na mambo ya jeshi hushikwa na serikali kuu. Mambo mengine hutegemea na utaratibu wa kikatiba katika kila nchi.

Mifano ya jamhuri za shirikisho:

Si lazima ya kwamba kila shirikisho ni jamhuri. Mifano ya falme ya shirikisho ni Falme za Kiarabu na Malaysia; kihistoria pia Dola la Ujerumani hadi 1918.

Tags:

JamhuriJimboSiasa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JogooMpira wa miguuJotoPaul MakondaSaddam HusseinMaadiliNapoleon BonaparteWamasaiMaji kujaa na kupwaWizara za Serikali ya TanzaniaUNICEFHomanyongo CShirikisho la Afrika MasharikiNgonjeraKadi ya adhabuMwanzoDeuterokanoniMawasilianoKairoRayvannyAslay Isihaka NassoroTendo la ndoaMekatilili Wa MenzaMasharikiLuis MiquissoneMachweoKishazi tegemeziDumaNdoaMisimu (lugha)UchawiLahajaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaBikira MariaNdovuUandishiBunge la TanzaniaNdoo (kundinyota)UingerezaWangoniAli Hassan MwinyiFid QNelson MandelaWajitaChadJinaHistoria ya KanisaKamusi ya Kiswahili sanifuRihannaKatekisimu ya Kanisa KatolikiMike TysonUrusiRedioSimba S.C.NgiriWagogoMgawanyo wa AfrikaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaDhima ya fasihi katika maishaDizasta VinaKiingerezaUkomboziRushwaKupatwa kwa JuaMsalaba wa YesuElimuSintaksiAlhamisi kuuKuraniMashariki ya KatiUmaWameru (Tanzania)Madawa ya kulevyaWamandinkaUtandawazi🡆 More