Jack Kirby

Jack Kirby (Agosti 28, 1917 – Februari 6, 1994) anajulikana kama mwandishi wa vitabu vya hadithi vya huko nchini Marekani.

Alikua katika jiji la New York na huko alijifunza kuchora picha za katuni.

Jack Kirby
Picha ya Jack Kirby.

Mnamo mwaka 1940 yeye pamoja na mwenzie Joe Simon waliunda mhusika mkubwa anayejulikana kama Captain America. Katika miaka ya 1940 Kirby aliungana na mwenzie Joe Simon na kutengeneza wahusika mbalimbali katika kampuni ya National Comics Publications ambayo kwa sasa ni Dc Comics.

Jack Kirby Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Kirby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2819171994AgostiFebruari 6HadithiJijiKatuniMarekaniMwandishiNew YorkPichaVitabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SemantikiMagonjwa ya kukuUchumiMariooJinsiaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaRohoMaradhi ya zinaaVasco da GamaUlumbiWairaqwChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Mfumo wa JuaPichaNdoaKinjikitile NgwaleOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMaji kujaa na kupwaChuo Kikuu cha Dar es SalaamJangwaNgw'anamalundiMwenge wa UhuruUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020TafsidaUfupishoUgonjwa wa kuharaJumuiya ya MadolaUsafi wa mazingiraStafeliMafumbo (semi)RejistaUaminifuTamthiliaWilaya ya ArumeruUfilipinoMohammed Gulam DewjiUfahamuMkunduMuda sanifu wa duniaWilaya za TanzaniaHistoria ya WasanguOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaUkristoSheriaKifua kikuuVisakaleMwanzoKitunda (Ilala)Tenzi tatu za kaleDoto Mashaka BitekoMsokoto wa watoto wachangaOrodha ya miji ya TanzaniaUtohoziOrodha ya majimbo ya MarekaniYoung Africans S.C.Ndege (mnyama)Kitenzi kishirikishiMsituAdolf HitlerAzimio la ArushaUmemeMkoa wa ShinyangaBagamoyo (mji)RwandaJava (lugha ya programu)Abedi Amani KarumeVivumishiMoshi (mji)🡆 More