Historia Ya Uthai

Historia ya Uthai inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Uthai.

Uthai ilikuwa nchi pekee ya Asia Kusini Mashariki iliyofaulu kukwepa ukoloni.

Nchi iliitwa rasmi Siam (สยาม) hadi mwaka 1939, tena kati ya 1945 na 1949.

Neno Thai (ไทย) linamaanisha "uhuru" kwa Kithai ni pia jina la kundi kubwa la watu nchini ambao ni Wathai (75-85%), mbali na Wathai-Wachina (12%).

Tangu tarehe 19 Septemba 2006 nchi imetawaliwa na kamati ya jeshi. Jeshi ilipindua serikali ya waziri mkuu Thaksin Shinawatra bila kumwaga damu. Viongozi wa kijeshi walipatana na mfalme kwamba wataandaa uchaguzi mpya.

Lakini hata baada ya chaguzi huru kadhaa nchi haijatulia kisiasa.

Historia Ya Uthai Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Uthai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

UfalmeUthai

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SenegalJamhuri ya Watu wa ChinaVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya miji ya Afrika KusiniMkoa wa TangaJuxOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaKisiwa cha MafiaAngkor WatSamakiMike TysonMkoa wa DodomaYoweri Kaguta MuseveniWaheheSimbaTashtitiVidonge vya majiraChadKadi ya adhabuMwanaumeRamadan (mwezi)MalipoMlo kamiliUfahamuMtiMkoa wa KilimanjaroJulius NyerereDodoma (mji)MbossoUNICEFTashdidiKondoo (kundinyota)DNAJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMpwaRisalaShambaKanzuKitubioMuda sanifu wa duniaSikukuuBiashara ya watumwaTashihisiRoho MtakatifuTunu PindaMsalaba wa YesuKenyaFasihi simuliziMichelle ObamaKrismasiKoffi OlomideWajitaWabena (Tanzania)Basilika la Mt. PauloUjasiriamaliKiambishiJuaHafidh AmeirHomanyongo CUnju bin UnuqTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaAina za udongoJamhuri ya Watu wa ZanzibarMaghaniKiraiShomari KapombeLionel MessiJay MelodyHoma ya manjanoHistoria ya KanisaUyahudiUti wa mgongoMajira ya baridiKonsonantiNamba ya mnyamaPasaka ya Kiyahudi🡆 More