Hilarión Daza Groselle (14 Januari 1840 - 27 Februari 1894) alikuwa Rais wa Bolivia kuanzia tarehe 4 Mei 1876 hadi 28 Desemba 1879 alipofukuzwa kutoka utawala na kufuatwa na Narciso Campero.
Daza mwenyewe alihamia Ufaransa, na alipojaribu kurudi Bolivia mwaka wa 1894 akauawa kwenye kituo cha treni mjini Uyuni moja kwa moja.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hilarión Daza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hilarión Daza, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.