Harold Shipman

Harold Shipman (14 Januari 1946 – 13 Januari 2004) alikuwa daktari na mwuuaji mfululizo wa Kiingereza.

Anafikiriwa kuwa ameua takriban watu 250 ambao wote ni wagonjwa wake.

    Matukio yake

Alipelekwa mahakamani na akakutanika kuwa na makosa ya kuua watu wapatao 15, na baada ya uchunguzi kufanyika akakutanika tena kusababusha vifo vya watu wapatao 235. Alikuwa akipendelea sana kuua watu kwa kutumia nusu kaputi. Wagonjwa aliowaua wengi walikuwa vibibi vizee.

    Kifo chake

Wakati alivyokuwa jela, alijiua. Wengi walifurahia baada ya kusikia hayo na hata kuthubutu kusema kwamba, huo ndiyo mfano wa kuigwa kwa wauaji wa mfululizo wengine. Tukio hilo halikuwafurahisha ndugu wa watu waliouliwa ndugu za wao na kufikiria kwamba serikali inawadanganya juu ya tukio hilo.

Shipman alijinyonga na shuka wakati wa usiku wa kuamkia siku yake ya kuzaliwa, yaani ilikuwa saa sita na dakika ishirini ya kuamkia tarehe 14 Januari ya mwaka wa 2004. Alikutanika na mhudumu wa gerezani na kuanza kutoka taarifa kwamba, Shipman amejinyonga katika nondo za dirisha kwa kutumia shuka la kulalia.

Viungo vya nje

Harold Shipman  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harold Shipman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

13 Januari14 Januari19462004Uingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Virusi vya UKIMWIKito (madini)MwislamuAfrika ya Mashariki ya KijerumaniKitenzi kishirikishiShahawaKitenzi kikuuNamba za simu TanzaniaMziziFamiliaPanziNgw'anamalundi (Mwanamalundi)ChuraUundaji wa manenoTai (maana)Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaFur EliseAurora, ColoradoRamadan (mwezi)TahajiaCédric BakambuNamibiaRitifaaKamala HarrisUhifadhi wa fasihi simuliziVivumishi vya pekeeAbd el KaderMfumo wa JuaTaifaUwanja wa Taifa (Tanzania)KusiniMisriBinamuWPasaka ya KikristoInjili ya MathayoChadWasukumaVivumishi vya idadiJamhuri ya Watu wa ZanzibarDuniaNambaKalamuKitomeoUgirikiHistoria ya ZanzibarKiangaziMimba kuharibikaWanyamweziMfumo wa lughaShangaziMkoa wa MorogoroAdhuhuriWachaggaOrodha ya Watakatifu Wakristo28 MachiBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiRaiaUfupishoTetemeko la ardhiDaudi (Biblia)Sayari ya TisaMariooUkoloni MamboleoKipimajotoKinembe (anatomia)Homa ya mafuaAina za udongoAbedi Amani KarumeWaluhyaMkoa wa ArushaTovutiSheriaSala🡆 More