Franz Wright (18 Machi 1953 – 14 Mei 2015) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani akiwa mwana wa James Wright.
Kama babake mwaka wa 1973, Franz Wright alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mwaka wa 2004.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franz Wright kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Franz Wright, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.