Mchezo Wa Video Fortnite

Fortnite ni mchezo wa video ulioanzishwa na kampuni ya michezo ya video Epic Games mwaka 2017.

Mchezo huu unahusu vita na umeweza kutwikwa taji kama Webby Awards, Teen Choice Awards na Game Critics Awards. Kuna vipengee viwili tofauti katika mchezo huu navyo ni

  • Fortnite: Save the World na
  • Fortnite: Battle Royale
Mchezo Wa Video Fortnite

Fortnite: Save the World

Mchezo huu huhusu mchezaji akishirikiana na wachezaji wengine kupigana na vinyama (zombie) ambavyo vimekuja duniani baada ya dhoruba kupiga dunia na kuwaua viumbe wengi, takribani asilimia 98. Wachezaji wajaribu kuwaokoa walionusurika pamoja na kujaribu kutafuta data kuhusu kilichosababisha dhoruba ile.

Mchezo Wa Video Fortnite 

Fortnite: Battle Royale

Fornite Battle Royale yahusu mchezaji mmoja, wawili au wengi wakipigana katika vita. Wote wasafirishwa kwa ndege bila zana za vita hadi kwa kiwanja cha vita. Hapa wafaa watafute zana za vita na pia waibuke washindi huku wakijilinda kutokana na kuuliwa na wenzao.

Mapokezi na wachezaji wa michezo ya video

Fortnite Save the World ilikuwa ilijipatia wachezaji milioni moja baada ya mwezi mmoja wa kuachiliwa. Battle Royale pia imekuwa ya kufana na kupendwa sana na wachezaji wa fortnite cheat

Mchezo Wa Video Fortnite  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Fortnite (mchezo wa video) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2017KampuniMchezo wa videoMichezoTajiVideoVita

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DuniaSimba S.C.Hassan bin OmariKichochoDiniNguruweMwaka wa KanisaJokate MwegeloVita Kuu ya Pili ya DuniaShereheJamhuri ya Watu wa ChinaAustraliaWanyakyusaOrodha ya makabila ya TanzaniaMbaraka MwinsheheVita vya KageraMagonjwa ya machoKiunzi cha mifupaLeopold II wa UbelgijiWizara za Serikali ya TanzaniaRoho MtakatifuVita ya Maji MajiUtapiamloAdolf HitlerWenguMshororoAfande SeleUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereAsiaOrodha ya Magavana wa TanganyikaLigi Kuu Uingereza (EPL)MadinaPasifikiUchekiWaluguruAnna MakindaRené DescartesLugha za KibantuAfrikaHistoria ya TanzaniaJinaMakabila ya IsraeliAsiliJihadiHaki za binadamuAfrika ya MasharikiRamadan (mwezi)Historia ya AfrikaHekaya za AbunuwasiIdi AminManeno sabaWilaya za TanzaniaAir TanzaniaMeta PlatformsKamusi ya Kiswahili sanifuHistoria ya Ethiopia2 AgostiHoma ya mafuaSerikaliMbuniTamthiliaTashdidiMapambano kati ya Israeli na PalestinaNairobiMwanamkeTmk WanaumeMzeituniReal BetisNdiziMfumo katika sokaOrodha ya Marais wa ZanzibarNgonjeraChura🡆 More